Wanaume acheni kuhonga wanawake, jenga nyumba

Wanaume acheni kuhonga wanawake, jenga nyumba

Mmh kujenga now issue jamaa kabana kila kona cjui itakuaje vile.lakini Mungu yupo..usipoonga utaachwa kijana upo tayar?
 
Asante mkuu kwa mawazo mazuri naushauri mzuri kwa wanaume
Wanaume wengi tunajisahau.tunaona mambo.yetu yatanyooka milele! wakati.ukianza kupeleka watoto shule hela zinakata! majukumu kibao unaanza kuhaha.
 
Aamekoma, amekoma...
Amekooma...

Aamekoma, amekoma...
Amekooma...
Alidhani poa poa, kumbe sio poaaa Side Mnyamwezi...

Ni muongo mtu wa fixi aliwaharibu Mabinti...

Hana mapenzi ya kweli aliwalaghai wakina dada...

Mwishowe aliwatelekeza bila kutoa msaada...

Alikuwa mpenda sifa demu wake wa kwanza alikuwa Latifa...

Penzi halikudumu sana miezi kadhaa wakaachana...

Hii ilikuwa furaha kwake kamaliza haja zake...

Akaja akang'oa mwingine ni demu wa rafiki yake...

Yeye hatambui hilo anahamishia tu kwake...
Hayo mashairi hawayazingatii wanajua wasanii wanaganga njaa tu! wanaume kibao tunaishia kuadhirika kutokana na kuendekeza vitu vya kijinga kuacha kuwekeza kwenye majumba yanayoongezeka thamani kila mwaka
 
Maisha ya watanzania wengi
1.soma
2.ajiriwa
3.oa
4.jenga

yaani hapo ndio umemaliza. successful.

Kuna maisha zaidi ya kujenga jamani.
Mkuu mimi kidogo tumepingana maana mtiririko wangu uko hvi

1. Nilisoma

2. Nikaoa

3.Nikajiajiri

4.Hustling for next step
 
Mfano ww usiehonga nyumba yako umejenga wapi? Ebu weka picha ya hati ya nyumba yako hapa wakuelewe!
Mkuu sio ibada kuwa kila mtu aseme amina! kama ushauri niliotoa haukufai waachie wanaofaa.hili swala ni nyeti kuliko nyeti zenyewe.weka mbali mizaha
 
Mkuu ushauri wako mzuri but umesema watu wajenge kisha wazipangishe,sasa wote wakisha jenga kama ulivyoshauri huyo mpangaji wa hizo nyumba zilizojengwa na kila mtu atatoka wapi? HAHAHAAAA!!
ukijenga nyumba mbili huku.unawatoto sita.unaona zinawatosha?! hao ndio wapangaji.think positive.sio kila mtu anakipato kikubwa mpaka afanye anasa!.wale wanaofanya hizo.anasa ndio walengwa
 
Ujumbe huu ni mahsusi kwa wanaume wote waliokwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa.ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.
Mungu anatupa fursa za kumiliki hela
wengi wetu tunaishia kuzitapanya ikifika fainali network zimeacha ku sense kazini
wamekuja wamechukua kitengo chako vijana,unaanza kuugua kwa mawazo!
ukipata hela nunua viwanja,jenga majumba ya kupangisha kadri utakavyo
weza.achana na kununua magari mawili,matatu,manne unajiona mjanja!
acha kutapanya hela kwa kuhonga. mistarehe ya wadada,mitoko,miharusi kila wiki! khah.
Achia wanao urithi.nawewe zikutunze
uzeeni! Magari,wanawake,starehe zinapita.maisha yako na ya watoto yapo!

don't say.idid not warn you!
Huo ufala wa kuhonga nimeshauacha ndo lilikuwa azimio langu kubwa kwa mwaka huu na kuendelea eti namhonga ili anipe papuchi kwanza nikaja kugundua kuwa narisk maisha yangu tu!!sasa hivi sihongi kudadadek ukitaka kunipa kibox manyoya nipe at ur own risk,period!
 
Mmh kujenga now issue jamaa kabana kila kona cjui itakuaje vile.lakini Mungu yupo..usipoonga utaachwa kijana upo tayar?
Mwanaume ukiwa na mali wanawake wapo wa kumwaga mbona.angalia mzee.Mengi
 
Dunia nzima wanaume wanahonga na hakuna popote duniani ambako wanaume wote wamejenga...
We endelea tu kuhonga Kinabo wewe!!tena ww wanakupenda coz handsam boy km profile pic yako!
 
Mkuu ushauri wako mzuri but umesema watu wajenge kisha wazipangishe,sasa wote wakisha jenga kama ulivyoshauri huyo mpangaji wa hizo nyumba zilizojengwa na kila mtu atatoka wapi? HAHAHAAAA!!
Ameshauri wanaume ndo wajenge. Kwahiyo wanawake ndo watapanga kwenye hizo nyumba
 
And I know that hotline bling that can only mean one thing.

Ever since I left the city yu yu yu
 
Mwanaume ukiwa na mali wanawake wapo wa kumwaga mbona.angalia mzee.Mengi
kaonga lakin yule labda kama usave kutohonga now uje uhonge baadae ukiwa na Mali nyingi.hapo sawa
 
kaonga lakin yule labda kama usave kutohonga now uje uhonge baadae ukiwa na Mali nyingi.hapo sawa
ndo maana nimesema kama hupo kwenye orodha ya forbes.hukuelewa hapo!
 
Ni ujumbe mzuri Kwetu sisi vjana. Ila umeandika kwa jazba kidogo.

Ungetulia na Kupanga point zako vzuri huku ukitoa Ushauri kwa vijana nini cha kufanya pindi Mtu applies kwenye I humo mzuri anapotaka kujijenga, kwani kuna we zangu na Mimi hapa tunasomesha hadi wajukuu wa Mjomba wa Mama.
mkuu umesahau kuwa makanisani na misikitini tunaambiwa ujumbe kwa mipangilio mizuri na bila jazba na hatuifuati? sembuse hapa,ambapo hela ni zako na vimwana wa kumwaga,wachache watakaonielewa na kuchukua ushauri wangu.wengi watajuutra mda ukifika.
 
Back
Top Bottom