Wanaume acheni hii tabia

haya mambo siku hizi yanaendeshwa kisanii both ways (kumegwa na kuchunwa ndiyo mpango mzima)....you only have to be smarter if you want to stay on top of the game
 
Wanawake wengine huwa tunafanya b'se wanajiona sana chunguza utagundua wanawake walio wengi wazuri hawaolewi una kwa nn ubabaifu pasua kichwa.
 
kwani lazima utaje ndoa..si uwe mkweli tu kwamba mimi bana ninataka tuduu nina hamu nisaidie! mtu aamue mwenyewe maybe na yeye anatakaje? alikuwa tu anaogopa kusema? ...mnaboaje...kuweni straihht kama The Boss..loh!

Mbona mie The Boss kaniahidi atanioa akishakamilisha talaka yake na Kongosho?
AMA ananidanganya?
 
Last edited by a moderator:
Nyie pia mna tabia ya kutupanga msururu mreefu kama kwenye vitambulisho vya uraiya. hivyo 2najua kabisa ndio maana na sisi 2kabuni haka kamchezo. vilevile punguzeni pasi hata vizinga vizinga hivi vyakijinga jinga kwani tukiona tunapigwa vizinga tunajua kabisa hapa hakuna mapenzi ya kweli ndio maana tunabembeleza ili tuweke 2 dushelele zetu halafu tukimbie
ilamkipunguza vizinga aaa mbona tunadumu na nyinyi sana
 
Aise ni kweli kabisa wangekua kama vyandarua vile vya GEORGE W BUSH vyenye kuzuia nzi na mwewe
 
Inawezekana ukawa mgeni pia katika mapenzi na si hapa jukwaani pekee.si kweli kuwa wanawake ni waaminifu sana kwenye uhusiano coz kuna watu wengi wanatembea na girlfrends wa watu kwa kuwatongoza ,wanakubali ilhali wakijua kuwa wana commitments na mtu mwingine.
 
Mabinti bana , wanalalamika utadhani wao wasafi , jamani hata wanaume wanatendwa ,
ugumu wa myoyo yao ndo unaficha malalamiko yao humu
 
Tukiwa wawazi hawawezi kukubali lazima tuwadanganye ili mkubali kuachia mzigo na since wanawake wameumbwa kudanganywa basi wanakubali tu masikini hata kama wanajua fika hapa nadanganywa.
 
eeeh ndiyo, siyo mnatokezea na nakupenda nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi, wakati we umetaman kunaniliu tu. Mnawafanya watoto wa wenzenu wawe na matarajio makuuuuuuuuuuuuuuuuuubwa, acheni hzo bana.
 
karibu sana..! ila sio wote wanaume wako kama huyo hata wana wake sio wote wako kama wewe.! nakushauri sio anae sema nakupenda unampa mahaba! jiipe mda wakujuwa yupi ni yupi na nani ni nani. kila kitu kina mda wake ukifanya haraka unakutana na hao jig jig kwanza.
 
Mi nadhani wanaume huwa hawatanii when it comes to love but mi naona ni issue ya kujua primary needs zetu,unakuta mwanamke analalama eti anashow love ya kutosha by all means ila inaonekana ni kazi bure and at the same time huyo mwanaume ikitokea akafunguka nae angesema ivoivo so please lets find out our primary needs first afu uone how much the guy attends you
 
Back
Top Bottom