Wanaume acheni hii tabia

oonatha

Member
Jul 17, 2012
24
9
Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume,
Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe siku za mbeleni na huku ukijua wazi unayoongea ni uongo ila tu unataka kumchezea tu mdada wa watu na kumuacha solemba. Jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwny relationships lakini Wanaume ndio mnawaangusha kwa kuwaharibia hisia zao. utakuta Mdada akili yote iko kwako lakini unaamua kumtosa na kumuacha ateseke, sio vizuri wanaume acheni hii tabia!
Nawailisha..........
 
Tumeacha ila nanyi mjifunza utambuzi wakutambua muoaji na mpitanjia ambae kajificha kusubiri mvua ikatike ili aendelee na safari.
 
Nanyie muache tabia ya kutukataa pindi tunapowaambia ukweli, pia muache tabia ya kutuita Buzi.
 
Tumeacha ila nanyi mjifunza utambuzi wakutambua muoaji na mpitanjia ambae kajificha kusubiri mvua ikatike ili aendelee na safari.

Aaaah..kwahiyo mnafanya kusuuudi eeeh?? Ndo maana mkikaa vibaya mnaliwa pesa zenu then mnaisha kunung'unika na kutukana..
 
kwani lazima utaje ndoa..si uwe mkweli tu kwamba mimi bana ninataka tuduu nina hamu nisaidie! mtu aamue mwenyewe maybe na yeye anatakaje? alikuwa tu anaogopa kusema? ...mnaboaje...kuweni straihht kama The Boss..loh!
 
Last edited by a moderator:
Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume,
Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe siku za mbeleni na huku ukijua wazi unayoongea ni uongo ila tu unataka kumchezea tu mdada wa watu na kumuacha solemba. Jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwny relationships lakini Wanaume ndio mnawaangusha kwa kuwaharibia hisia zao. utakuta Mdada akili yote iko kwako lakini unaamua kumtosa na kumuacha ateseke, sio vizuri wanaume acheni hii tabia!
Nawailisha..........
Ndugu kuwa makini jinsia zote ziko na tatizo hili, I LOVE YOU! nyingi kumbe wizi mtupu.
Kwa wanaume maumivu huwa hayaonekani wazi.
Nakushauri ujitahidi kuwatanbua mabuzi, kama wao wanavyowatambua wachunaji japo si kazi rahisi kwako.
 
"jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwenye relationship" Nani amekuambia haya?Hawa wadada labda wapo sayari ya Mars!
 
akuchezei,mnachezeana, nyie nao mkiambiwa ukweli hamkubali mpaka mdanganywe na mnapenda sana kudanganywa....pia hata nyie pia c waaminifu....mwisho wa siku ukila vya wenzako na vyako uliwa pia
 
Aaaah..kwahiyo mnafanya kusuuudi eeeh?? Ndo maana mkikaa vibaya mnaliwa pesa zenu then mnaisha kunung'unika na kutukana..

kwa taarifa tu hivi sasa tume advance,kazi kubwa ni kujua namna ya kupepeta domo,ukijua kubwabwaja sound tamu kwa mdada haki ya nani mdada hakuchuni hata mia moja na kinyume chake mdada anaanza kukupa mi ofa ya hapa na pale.
 
Nyie mnajua fika kuwa bila kudanganywa hamkubali!
subutuuu! Ujidanganye kumwambia ukweli ikamate kwako,mie ambae nitamwambia kuwa baba yangu mie ni fisadi ndie anae miliki mgodi wa dhahabu wa buzwagi nk,nk uone kama sibebi mzigo.
 
Mwanamke nikimwambia mi sina malengo na wewe nataka tu duuu nkuchezee alafu hamu ikiisha nasepa alafu akakubali, mi nasepa huyo lazma malaya.
 
kwani lazima utaje ndoa..si uwe mkweli tu kwamba mimi bana ninataka tuduu nina hamu nisaidie! mtu aamue mwenyewe maybe na yeye anatakaje? alikuwa tu anaogopa kusema? ...mnaboaje...kuweni straihht kama The Boss..loh!

lol...tell them...
 
Back
Top Bottom