ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,801
- 60,645
Wapigwe tu maana kenge huwa hawasikii hadi watokwe damu na kuelewa maana ya "Kausha damu/Yatima mwendokasi/Chuma ulete" siyo wa mchezo mchezo.1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda.
2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA vya kunoga Kwa ajili yake wakati wake.
3. Mtu ambaye hawezi kukupigia simu hata kwa dakika 5 mkaongea ye kazi yake kuku beep tu, kulalamika na kuomba bundle na muda wa maongezi hio ni liability.
4. baadhi ya Wanaume wanatoka na Mademu wanaofikiri mapenzi ni kazi au biashara ambayo anatakiwa kulipwa. Jamani Sex sio faida kwa wanaume tu tulivyo malofa anaweza kukubania hata sex yenyewe na bado unamchuku huyo ni liability.
5. Acha kuchumbiana na mademu hovyo hata awe mrembo kiasi gani. Urembo ni bonasi, zingatia Madini yake!
Kaa na mwanamke ambaye anaweza kuongeza kitu cha maana kwenye maisha yako.
Mambo kama vile: miradi ya kifedha, akili ya kihisia, mambo ya kiroho.
6. Mchumbie mtu ambaye ana uwezo wa kutoa chochote alichonacho na unachompa, roho yako itakuwa na amani!
Sio demu ambaye atakuwa anapokea tu.
7. Hatusemi lazima awe tajiri.
Lakini mwache awe na jambo la kufanya hata liwe kidogo kiasi gani, maana hata upate pesa kiasi gani, lazima aweze kukusaidia nyakati za wewe kufulia.
Wengine mkiona tu demu ana mzigo nyuma mpo tayari kuuza kila kitu mlichonacho ili tu kum GO unaweza kumpa 100K leo atasema "asante" lakini kesho ukimpigia simu ukimwambia akutembelee atasema " tuma pesa za usafiri"huyo ni liability.
Aisee nawaombea sana vijana wenzangu wa KUBALI NDOA mpate mwanamke kichwa si wengine jamani badobado kwanza.
Kuna kaukweli kwa kiwango fulani1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda.

Huyo kafikaje hapo alipovaa tshirt nyekunduWapigwe tu maana kenge huwa hawasikii hadi watokwe damu na kuelewa maana ya "Kausha damu/Yatima mwendokasi/Chuma ulete" siyo wa mchezo mchezo.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.View attachment 2977133
Yani kachunwa kama ngozi ya ng'ombe kaachiwa bichwa tu.alitokea kwenye suti au alitokea kwenye simba, maelekezo tafadhali! Interlacustrine R
1. Suti nyeusi.alitokea kwenye suti au alitokea kwenye simba, maelekezo tafadhali! Interlacustrine R