Wanaume 20%, wanawake 80% ya uaminifu ktk mahusiano.!

Huu utafiti hauwezi kuwa sahihi maana kama wanawake wamekuwa waaminifu zaidi dhidi ya wanaume, iweje sasa tafiti za TACAIDS ziseme kwamba maambukizi ya ukimwi kwa wanawake ni makubwa 6.6% ukilinganisha na wanaume 4.6%.
Nani anasema uongo hapo....?
 
first,maumbile ya women yako vulnerable to infections than men,second,there are more cases za wanaume kuwa na wake wengi,third,rape is more to women than men,4th wanawake wengi hupata maambukizi even after knowing that their husbands are not faithful,wanakuwa hawajiamini na kuacha watoto ni ngumu,while most men do it easily
 
hahahahah! wakipima DNA watu watatafutana

Haaaahaa, hii kali. Najua zawadi ya juu kabisa ambayo mwanamke anampa mwanaume anayempenda ni kufertilize yai kwenye siku ile mahususi. Sasa waafrika tuna tabia nzuri bwana...mtoto akizaliwa kwenye mji wako ni wa kwako hatuna tabia ya kutafuta nani ni baba wa mtoto. tabia hii kweli tuidumishe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom