Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,039
Wewe naye utapata kichaa cha mbwa bure kwanini usiangalie movie hata igizo la Kaole!Unahitaji nn sasa tuje tukushikie miguu?? Hayo ni mambo yako binafsi mkuu muhimu ibilisi kapita hilo ndio kubwa
Wewe naye utapata kichaa cha mbwa bure kwanini usiangalie movie hata igizo la Kaole!
Magufuli amefanya yake.
Lazima walikuwa wanampinga Rais Magufuli nae amewaonyesha kuwa yeye ni katili.
Kwani wewe ndiye magofool!!Uwe unatumia akili hata kidogo basi.
Punguza vitisho kaka mkubwaaPunguza mihemiko mkubwa
Mimi bado sijaanza kuwaskitikia mpaka pale nitajua shughuli zip za kibinadamu walienda tanya hifadhini.
RUSHWA !watu mbona wanaendelea kuzipiga tu tena kwa kasi kuu.hata akija CAG hakuna hofu.Kuna mambo manne hupaswi kufanya awamu hii, Ujambazi, Madawa ya kulevya, ujangiri na rushwa, ila kuna watu hawaamini bado
Mkuu, kuna sehemu (shule/chuo) wanafundisha matusi?Ushauri wangu: Jifunze kutukana uwe na kitu cha kukubeba pale akili inapochemka.
watakuwa wameliwa na simbaaaWatu 10 wote wakiwa wanaume wakazi wa vijiji tofauti vya kata ya Ruhembe wilaya ya kipolisi Ruhembe mkoani Morogoro, hawajulikani walipo baada ya kupotea kwa siku 18 sasa baada ya wananchi wa kijiji hicho kudai kuwa watu hao walikwenda kufanya shughuli za kibinadamu katika hifadhi ya taifa ya Mikumi kinyume cha sharia.
Tukio hilo la kupotea kwa watu hao limetajwa kutokea mnamo Aprili mbili mwaka huu baada ya watu hao kudaiwa kuingia kwenye hifadhi ya taifa ya mikumi na kisha kushindwa kurejea kijijini hatua iliyopelekea wananchi kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama.
Kufuatia tukio hilo imemlazimu kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Wilbroad Mutafungwa kufika katika kijiji hicho nakuongea na wananchi kisha akawataka wananchi kuwa watulivu wakati jitihada za kuwatafuta watu hao zikiendelea.
Chanzo: ITV
ha ha ha punguzeni bas japo hata kidogoooWewe nani hadi unipangie cha kuandika?
Mende wa chooni wewe,pumbavu kabisa.
sasa watanzania mbona mnaanzisha vurugu ,Lady J DEE na wimbo wa wanaume kama mabinti
Mkuu tulio wengi tukiwa nyuma ya keyboad huwa tunahisi kama hatuwezi onekana kiwepesi na kupelekea kuandika tunachotaka bila kuangalia madhara huko mbeleniUwe unatumia akili hata kidogo basi.