Wanatusumbua.......

Wanatusumbua.......

Hujajibu swali wala kutoa taarifa niliyoiuliza badala yake umetoa maelezo mengine ya papai ambayo nayo hata siyajui. We kama hujui nawe si uulize kuliku kujifanya unajua kumbe unasubiria kudesa? shaaashuuuuu
Kama na hilo hujui basi basi nabadirisha lugha.... kwenda uvinza.... ndo alichokuwa anamaanisha... Kama na hilo nalo gumu kwako, basi nanyanyua mikono.... Maana usije ukani-BAN-isha buree...
 
Tafadhari usiturushe mioyo... Madaktari mbona huwataji..??? Na wewe mke wa nani..?? Au fundi cherehani..??

Teh! Kwani we dereva au engineer pole! madaktari wao zamu tu akirudi asubh anampa mkewe! Sasa dereva loh kuamka sa kumi awahi abiria kuwapeleka ubungo wakati nyumba ya pili ndo wanapeana cha mwishomwisho loh! Miye wangu cherehani ndiyo afu hapahapa home nikitaka naita tu 'beeibii ' teh!
 
Asnam, isije ikawa wewe ndo unamsumbua huyu jamaa kwa vile Engineer wako yupo BIZE
CC
Munkari

mi engineer wangu hadi huwa nampa likizo ya mapumziko mafupi kwa sababu hasubiri kuulizwa wala kudaiwa anajua nini nahitaji aaagh hata wazo la kwenda nje halipo kabisaaaaaaaa
 
mi engineer wangu hadi huwa nampa likizo ya mapumziko mafupi kwa sababu hasubiri kuulizwa wala kudaiwa anajua nini nahitaji aaagh hata wazo la kwenda nje halipo kabisaaaaaaaa
We jipe moyo tu utashinda.... Kuna watu wanajuwa kujipanga.... Yaani muda unaotaka arudi home yupo..... Lakini kwa mpango wa kando kama kawa anaenda saa ngapi... anajuwa yeye na ratiba zake
 
wajibikeni kwa wake zenu,sio kuhangaika na maisha tu,mke unamuangalia tu kama dada yako!mpe mapenzi,sio hela ya matumizi tu!mtu hukutani kimwili na mkeo unamaliza wiki,wiki mbili,unategemea nn?
 
Back
Top Bottom