Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Eiyer hata sijui sasa nawaza hiki nikifikiriacho ndio alichomaanisha!!!!!!Mrembo,
Hujui hiyo makitu?????
Last edited by a moderator:
Eiyer hata sijui sasa nawaza hiki nikifikiriacho ndio alichomaanisha!!!!!!Mrembo,
Hujui hiyo makitu?????
Ya ajabu yapi? Cha kuokota si cha kuiba mwenye mali ni mjinga - sosi King'asti
Nitapambanua vipi ukweli na uongo @ Mkunde originalKatika vitu ambavyo usiviamini kutoka kwa mwanamke ni pale anapokuwa anakuomba penzi au anakiu umgegede atakwambia vitu vingi na kati ya hivyo vingi ni vya uongo ili tuu umnanihiii heheheheeeee.
Kwani mrembo unafikiria nini?????????
Kama unajua ni mke wa mtu kwanini unatembea nae? Yani kila anaekusumbua ndo utembee nae?
chunga ndugu zama hizi binadamu wamebadilika sana! Yanaweza kukupata ya ajabu.
Nona unatutafuta ubaya madereva wa maroli...
Tunakuaga na wake kila kituo, na tunatoaga dozi ya kutosha maana nguvu za chini hazitumiki ukiwa umeshinda umekaa kutwa nzimasi ndo nyie kutwa kucha mpo barabarani hamuwapi wake zenu ile makitu wanasumbua vijana wa watu mtaani loh!
Hao wanaowasumbua mtaani, ni wahuni kwa asili, na si kwa sababu hawananiliwi vizuri! Hiyo ni tabia yao mbaya! Jaribu kuwaepuka.
Nitapambanua vipi ukweli na uongo @ Mkunde original
wanataka vitu adimu ambavyo huwa hawawezi kuvipata kwa wanaume wao vitu kama kuliwa tigo na tikiti maji vinahusika sana tu!
Tafadhari usiturushe mioyo... Madaktari mbona huwataji..??? Na wewe mke wa nani..?? Au fundi cherehani..??Hao watakuwa wake wa maengineer na madereva ! Teh!
Yaani we Mkunde Original, ambacho huajelewa hapa ni tikiti maji, hayo ya tiGo umeelewa.... Haya kama hujaelewa tikiti maji, basi KULA PAPAI.... Maana huko kwenye ndoa, kuna mengine yanatazamwa kama dhambi.... Cha ajbu hao hao wanandoa, wakitoka nje ya ndoa zao... tiGo kwa sana, mapapai kwa sana... etc etctikiti maji ndo nini? kwa taarifa tuu.
Mrembo,
Hujui hiyo makitu?????
Yaani we Mkunde Original, ambacho huajelewa hapa ni tikiti maji, hayo ya tiGo umeelewa.... Haya kama hujaelewa tikiti maji, basi KULA PAPAI.... Maana huko kwenye ndoa, kuna mengine yanatazamwa kama dhambi.... Cha ajbu hao hao wanandoa, wakitoka nje ya ndoa zao... tiGo kwa sana, mapapai kwa sana... etc etc