UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,243
- 7,606
Asilimia kubwa hao wasiomkubali wapo mitandaoni ndio wakina nyie ambao hata kuandamana hamuwezi kwa sababu mpo mitandaoni, kwahiyo nyie huwa ni watu kutafuta visababu tu hapo utasema watu walizuiliwa kushangilia ndio maana hamkuonekana wengi na msipotokeaga kwenye maandamano pia mnasema ni kwa sababu polisi walizuia.Ndio maana tulitaka wale walioshangilia wasikamatwe ili tupime na wasiomkubali.
Kikubwa hapa ni kwamba mlikuwa mnasema humu kuwa Magufuli hapendwi sijui kaumiza sana watu kiasi hadi tukadhani msiba wake hautokuwa na watu wengi kwa sababu watu hawampendi ila kilichotokea ni tofauti kabisa.