Wanatuibia:Tuache kununua sinema za KIBONGO

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,797
Zinaniboa, yaani Watanzania wamekosa vitu vya kufanya sasa wanafikiria wizi tu.
Sinema moja kuwa na Part 1 na Part 2 ni wizi, tusikubali kuibiwa, tuache kununua kazi zao hadi hapo watakapo jirekebisha.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Na vituko vyako lakini huwa unaongea vitu vya maana.
Hivi kuwa msanii maana yake uwe tapeli?
Wacheza filamu wa tz ni matapeli tumewashtukia.
 
yani hata mimi nashanga sana na part 2 yenyewe inakuwa aieleweki hata kidogo utumbo tu
 
sasa ukiwakataza wenzio...watakua hawakuelewi...naamin umekua muelewa. Vizuri uwatajie mapungufu ulioyaona ili nao wajifunze.
Mdogo wangu alintumia film 1 ya kibongo nilimshauri wakitaka films ntakua nawaagizia kutoka huku. Maana sikuwa naenjoy ila nlikua na hasira...unajua kulazimisha kitu usichokiweza bora ufanye ulicho kiweza/kukizoea.
 
umeona ehhhh!!!!!!!
 
kweli wanaboa,siyo part 1&2 tu hata story zao hazina mana,tz kuna mambo mengi yenye mtiririko wa story nzuri si mpnz tu.
 
kweli wanaboa,siyo part 1&2 tu hata story zao hazina mana,tz kuna mambo mengi yenye mtiririko wa story nzuri si mpnz tu.
Wanapozinunua kwa wingi....ndivyo wanavyozidi kutoa ...!
Inaonesha na hao wanunuzi hawana uelewa zaidi. Waelimisheni.
 
Mmegusa penyewe, mimi mwenyewe naona kinyaa kabisa kutizama haya maigizo ya tz a.k.a filamu za kibongo.
Naona kama wameelemea zaidi kwenye mapenzi halafu hata uhusika wanashindwa kabisa kuuvaa, yaani hakuna uhalisia kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Kanza filamu za kibongo hazina mafunzo kabisaaaa.Nakumbuka michezo ya enzi zileee kule ITV ilikuwa poa sana.Na hata kipindi KAOLE walipotoa filamu ya JOHAR ilinifurahisha kwani iligusa hisia.Sasa ni wizi mtupu.......Badala watoe cd A na B.Wenyewe wanatoa part 1 na 2.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
yaani filamu za kibongo zinaboa, fupi halafu wanang'ang'aniza iwe na part one & two, kutula pesa zetu.
inabidi wajirekebishe kwa kweli.
halafu editing yao mbovu,
na hawajui kabisa sound control, makelele mengi,
ingawa wanatuwakilisha wanahitaji shule zaidi
 
Yaani Movie za Kibongo mi nshagoma siangaliikabisa sk hizi..Hazina continuity nzuri, rangi, story zenyewe mbovu,uigizaji wenyewe wa kukariri,action zenyewe hovyo hovyo tu.........kaaaazi kweli kweli
 
siyo lazima mziangalie, besides bongo hakuna movie bali maigizo yaliyo rekodiwa. Put that in your minds!
 
Zinaniboa, yaani Watanzania wamekosa vitu vya kufanya sasa wanafikiria wizi tu.
Sinema moja kuwa na Part 1 na Part 2 ni wizi, tusikubali kuibiwa, tuache kununua kazi zao hadi hapo watakapo jirekebisha.

kumbe kuna watu walikuwa wananunua bado?
 
mie filamu ambazo nimeangalia hata kumi hazizidi yaani hhakuna cha maana zaidi ya mapenzi tu, script writing mbovu, waigizaji ndo ma
director filamu mmoja mastaa kumi hahaa yaani hakuna ladha yoyote
 
Story za mtaani wao wanaita sinema,just first ten minutes umeshaijua story yote mwisho itakuwaje lakini katikati yake unasikia end of part I.Hakika zinaboa coz hazina msisimko na wahusika hawauvai uhalisia.nadhani kuuza sura ni ajenda kubwa.Wangejaribu kuja na ubunifu wa stori zinazogusa hisia kwa watazamaji na kuweka waigizaji mahiri wanaoendana na scene husika..maana ya part 2 sio nusu ya sinema,inatakiwa part one iishe na ikija part two ni another story yenye wahusika walewale ikiwa na maudhui yanayohusisha the earlier story.otherwise ni rubbish
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Back
Top Bottom