Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,621
- 6,511
Kuna haya maneno nimesikia kutoka kwa mdau mmoja akisema "Hawa wanatoa maziwa na mayai, wanapaswa kukaa jikoni ndiyo sehemu yao, huku kwingine tunalazimisha tu"
Ni kauli ya kufikirisha sana. Inawezekana ni kauli ambayo imepitwa na wakati au inawezekana ina ukweli fulani tunaoukataa.
Tujadili. Comments ziwe fupi fupi.
Ni kauli ya kufikirisha sana. Inawezekana ni kauli ambayo imepitwa na wakati au inawezekana ina ukweli fulani tunaoukataa.
Tujadili. Comments ziwe fupi fupi.