Wanataka Rushwa ya Ngono.....


Hueleweki bana! Mara ana vyeti vizuri! Kwani field umeambiwa ni kazi hadi apeleke vyeti? Andika kwa ufupi maelezo yaeleweke, sio lazma uandike tu
 
kumbuka mkono mtupu haulambwi apige moyo konde kumbuka ile research iliyosema 40 percent ya wanawake wamepata kazi kwa rushwa ya ngono! Ndio nchi yetu ka vp aprovide tu kwani nini? Angekuwa bikra sawa ila ka ashatumika, atumie vipawa alivyojaliwa tena anaweza akapata na kazi kabisa
 
kama ingekuwa ni rushwa ya hela wangewaza kumpa hela za moto.... saa hii ya ngo watampa nini......
.....Mshauri atoe taarifa TAKUKURU, kinachofanyika kwa uelewa wangu ni kwamba TAKUKURU wanaandaa mtego baada ya makubaliano ya wahusika. Mtoa taarifa akishakubaliana na huyo mtu wake wapi wanakutana kama ni Gesti au popote, anawatonya TAKUKURU kwa siri, wanakuja wanamdaka. Rushwa ya Ngono ni kosa kinyume na sheria
 
siamini kama ushauri huu uliotolewa na mana JF hapo juu na wa great thinkers!! Bushbaby kaleta mada akiamini sie ni great thinkers na atapata mawazo mazuri, matokeo yake baadhi wanaandika upuuzi mtupu jamvini. mode kwa nini usiwe unawatoa wale ambao hawapost kitu kisicho fanana na kauli mbiu yetu ya great thinkers? Bush ushauri wangu ni kuwa jaribu kumtafutia wewe mwenyewe na pia ushauri alio toa Russian ni mzuri. Mdogo wako inabidi asiruhusu fataki yeyote kumrubuni ili apate field ikiwezekana awafuate TAK
 

Ninaamini siku dada yako au mtoto wako akija kwa shida kama ya mdogo wangu utampa ushauri kama huu.........
 
I like your advice. It indicates maturity in social affairs, specifically love.

 

Si awashikishe. Awaulize kwani wao wanataka nini, then andae mazingira ya kuwakamatisha.
 
Mwambie atoe kitu apate kitu! Now ni mwendo wa ubepari! Kama huna kitu hupati kitu! Akubaliane nao tu ili aweze kuachieve her dreams

ndio tabu ya magamba, hayasomi nyakati wala vivuli vya nyakati. umeandika nini?
kama huna cha kuchangia ukikaa kimya c dhambi, ila hapa inaonesha ni jinsi gani
umemwehuka
 

mmmmmhhhh! sawa bana ukitaka kujua machungu ya kufiwa, fiwa. otherwise ukiona watu wanalia
msibani huwezi kuelewa. utaelewa likikupata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…