wanasoka wa kibongo wawe na displini na mchezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanasoka wa kibongo wawe na displini na mchezo

Discussion in 'Sports' started by Yo Yo, Apr 11, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0

  wachezaji wa kibongo wanahitaji semina elekezi ili wafike kama wengine.....
  hawana nidhamu ya mchezo
  hawana nidhamu binafsi

  mdfano angalia kwenye hii tube..dakika 7.26...mchezaji huyu namba 5 mgongoni anabutua mpira kwa mashabiki pasipo na sababu yoyote na hapo hapo wamefungwa ilimpasa achukue mpira haraka haraka akimbize kati waanze ili watafute goal...

  ni tofauti na wenzentu...angalia dakika 6.31 mpaka 6.33 wakati wamepata goal la kwanza mchezaji wao aliukimbilia mpira haraka ili waanze kati ili wafikishe malengo yao ya magoli mengi...

  ni jambo la busara sana wachezaji wetu wawe na desiplini kwenye mchezo.....ndio watafika mbali...hawa simba wna game na waarabu tena..wazee wa fitina lazima wawe so disiplined kwenye mchezo la sivyo watapigwa red card wengi....

  vile vile nimeangalia hii kadi ya nyoso ni fitina la waarabu maana hakumpiga ila alimsukuma ki kawaida ila jamaa akashika macho kama kwamba kapigwa kipepsi...angalia dak 6.42
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwambie kikwete ajenge academy za michezo nchi nzima,swala jingine ni kuwa samaki mkunje angali mbichi hao wachezaji unao walaumu walifundishwa wapi kuwa na nidhamu ukiwa nje na ndani ya uwanja?kwa hiyo refa alichezesha vizuri,then jambo jingine ni kuwa wachezaji wetu hawataki kuiga baadhi ya mautundu ya wachezaji wa ulaya na nchi zingine.
   
Loading...