Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Tatizo huyu ngara23 anaona Mayele kuuzwa (biashara) na kulipwa 80M (kipato) siyo ajira..!!! Kuna watu wanawaza mwisho urefu wa pua zao.Sasa Profesa, biashara na ajira za vijana si ndiyo mamipira yanahusika pia?
Kuwa na kiasiNenda kwenye majukwaa mengine ukaone michango yangu ilivyo ya maana.
Usidharau michezo hata huko first world wanajadili michezo na wametuzidi kwa michezo yote na maendeleleo ya sayansi, tech, uchumi na Elimu.
LoL!Sahihi kabisa na moja ya jambo la kwanza watakalotaka kufanya ni kuhakikisha fainali haichezwi kwa Mkapa. Watatumia watendaji wa serikali, meneja wa uwanja, wakaguzi na wengine kufanya hujuma hiyo. Tayari dalili nimeziona. Ukiniuliza mimi nitakwambia mpaka sasa naona uwezekano wa 70% hadi 80% ya fainali kuchezewa Zanzibar.
Kuwa na kiasiKwahiyo, hayo unayotaka yajadiliwe, ifanyike hivyo kwenye jukwaa la michezo..??? Na majukwaa ya siasaa (Katiba mpya), Ajira za vijana, Kilimo, Technology, Biashara n.k kujadiliwe vitu gani.
UJINGA NA UFALA NI PAMOJA NA KUJADILI MAMBO KWENYE MAENEO YASIYOHUSU MAMBO HAYO
Umeongea Ujinga mtupu.Na wamewaweza kweli mbwa hawa
Ungekua na kiasi Cha kujadili masuala ya michezo wala mada yangu hii usingeiona,maana muda wote ungekua kwenye majukwaa mengine ya maendeleo.Kuwa na kiasi
Jadili michezo lakini usizidi
Huo ni uzuzu kujadili mamipira kila wakati
Niko hapa kujadili sayansi ya michezo sio ujinga wako wa majungu na ushirikina.Ungekua na kiasi Cha kujadili masuala ya michezo wala mada yangu hii usingeiona,maana muda wote ungekua kwenye majukwaa mengine ya maendeleo.
Lakini kutwa kucha umo humu unafatilia Kila kilichoandikwa.
Sema TU mada yenyewe imekutia hofu.
Mtu huwezi kuwekewa mwiko nyuma, halafu ukawa na akili nzuri.Mbumbumbu fc
Kwenye jukwaa gani?Kuwa na kiasi
Jadili michezo lakini usizidi
Huo ni uzuzu kujadili mamipira kila wakati
LoloteKwenye jukwaa gani?
Unaelewa maana ya kutenga majukwaa??Lolote
Kuna jukwaa lolote limetengwa Kwa ajili ya wapumbavu na malofa?Unaelewa maana ya kutenga majukwaa??
No Reform no truphyWanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane.
Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku mtaani wapinzani wananihakikishia kua watatia mkono, lakini pia ukiingia kwenye social media utaona baadhi ya Viongozi wa adui yetu jinsi wanavyojiapiza kua watatuharibia kwa namna yoyote Ile ili tufungwe na RS Berkane.
Mmoja wapo ni yule aliekua msemaji wetu wa zamani akakimbilia kwa adui yetu.
Na mwingine ni msemaji wa Sasa wa adui yetu.
Uzuri clip zipo wakiahidi kutuhujumu.
Wanasema kwamba watahakikisha wanawapa RS Berkane Kila msaada watakao uhitaji ili tufungwe ikiwezekana nje na ndani lii tusichukue kombe.
Siongei uongo,Bali clip zipo na msemaji wao akisema kua, ataanza dua Kali kuombea tufungwe nje ndani,sio yeye TU Bali na baadhi ya wazee na vijana wamejiapiza kufanya Kila hujuma katika maeneo tofauti.
Hivyo Wana Simba wenzangu kuweni macho kwa maombi,Dua Sala na aina yoyote ya ulinzi ili kupingana na nguvu hizo chafu. Kweni macho na hujuma zozote.
Nimesikia kua Majasusi wa RS Berkane tayari wameshaingia nchini tayari kuipeleleza Simba
Na kawaida ya wapelelezi hutumia wenyeji wasio na mahusiano mazuri na anaepelelezwa.
Nyuma mwiko kimewauma sana baada ya kuona walichokua wanajivunia kimedumu kwa miaka miwili TU,Simba amekuja kukivunja na ana uwezo wa kuchukua ndio ya CAFCC
Nyuma mwiko hofu na wivu vimewakaa kooni.
Fainali ni vita kama vita nyingine.
Hao wameanza kupokea wageni toka kitamboWanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane.
Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku mtaani wapinzani wananihakikishia kua watatia mkono, lakini pia ukiingia kwenye social media utaona baadhi ya Viongozi wa adui yetu jinsi wanavyojiapiza kua watatuharibia kwa namna yoyote Ile ili tufungwe na RS Berkane.
Mmoja wapo ni yule aliekua msemaji wetu wa zamani akakimbilia kwa adui yetu.
Na mwingine ni msemaji wa Sasa wa adui yetu.
Uzuri clip zipo wakiahidi kutuhujumu.
Wanasema kwamba watahakikisha wanawapa RS Berkane Kila msaada watakao uhitaji ili tufungwe ikiwezekana nje na ndani lii tusichukue kombe.
Siongei uongo,Bali clip zipo na msemaji wao akisema kua, ataanza dua Kali kuombea tufungwe nje ndani,sio yeye TU Bali na baadhi ya wazee na vijana wamejiapiza kufanya Kila hujuma katika maeneo tofauti.
Hivyo Wana Simba wenzangu kuweni macho kwa maombi,Dua Sala na aina yoyote ya ulinzi ili kupingana na nguvu hizo chafu. Kweni macho na hujuma zozote.
Nimesikia kua Majasusi wa RS Berkane tayari wameshaingia nchini tayari kuipeleleza Simba
Na kawaida ya wapelelezi hutumia wenyeji wasio na mahusiano mazuri na anaepelelezwa.
Nyuma mwiko kimewauma sana baada ya kuona walichokua wanajivunia kimedumu kwa miaka miwili TU,Simba amekuja kukivunja na ana uwezo wa kuchukua ndio ya CAFCC
Nyuma mwiko hofu na wivu vimewakaa kooni.
Fainali ni vita kama vita nyingine.
Jukwaa la michezo lazima lijadili michezo boss.Simba na Yanga hata wachukue kombe la Dunia, Watanzania wenzetu hawana madawati, hawana madawa, hawana maji n.k itafaa nini?
Tuwe na kiasi kujadili haya mamipira
Jukwaa la michezo, sio maalum Kwa ajili ya upumbavuJukwaa la michezo lazima lijadili michezo boss.
Kila jambo na mahali pake kwa muda wake.
Nyuma mwiko mna tabu kweli kweli.Jukwaa la michezo, sio maalum Kwa ajili ya upumbavu
Kwa akili hizi, Wacha bandari ziuzweNyuma mwiko mna tabu kweli kweli.