Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,709
- 8,415
Kimemramba utoWanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane.
Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku mtaani wapinzani wananihakikishia kua watatia mkono, lakini pia ukiingia kwenye social media utaona baadhi ya Viongozi wa adui yetu jinsi wanavyojiapiza kua watatuharibia kwa namna yoyote Ile ili tufungwe na RS Berkane.
Mmoja wapo ni yule aliekua msemaji wetu wa zamani akakimbilia kwa adui yetu.
Na mwingine ni msemaji wa Sasa wa adui yetu.
Uzuri clip zipo wakiahidi kutuhujumu.
Wanasema kwamba watahakikisha wanawapa RS Berkane Kila msaada watakao uhitaji ili tufungwe ikiwezekana nje na ndani lii tusichukue kombe.
Siongei uongo,Bali clip zipo na msemaji wao akisema kua, ataanza dua Kali kuombea tufungwe nje ndani,sio yeye TU Bali na baadhi ya wazee na vijana wamejiapiza kufanya Kila hujuma katika maeneo tofauti.
Hivyo Wana Simba wenzangu kuweni macho kwa maombi,Dua Sala na aina yoyote ya ulinzi ili kupingana na nguvu hizo chafu. Kweni macho na hujuma zozote.
Nimesikia kua Majasusi wa RS Berkane tayari wameshaingia nchini tayari kuipeleleza Simba
Na kawaida ya wapelelezi hutumia wenyeji wasio na mahusiano mazuri na anaepelelezwa.
Nyuma mwiko kimewauma sana baada ya kuona walichokua wanajivunia kimedumu kwa miaka miwili TU,Simba amekuja kukivunja na ana uwezo wa kuchukua ndio ya CAFCC
Nyuma mwiko hofu na wivu vimewakaa kooni.
Fainali ni vita kama vita nyingine.

Sasa Profesa, biashara na ajira za vijana si ndiyo mamipira yanahusika pia?Jadili mambo ya msingi kama
Katiba mpya
Ajira za vijana
Kilimo
Technology
Biashara n.k
Mko busy na mamipira
Sahihi kabisa na moja ya jambo la kwanza watakalotaka kufanya ni kuhakikisha fainali haichezwi kwa Mkapa. Watatumia watendaji wa serikali, meneja wa uwanja, wakaguzi na wengine kufanya hujuma hiyo. Tayari dalili nimeziona. Ukiniuliza mimi nitakwambia mpaka sasa naona uwezekano wa 70% hadi 80% ya fainali kuchezewa Zanzibar.Wanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane.
Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku mtaani wapinzani wananihakikishia kua watatia mkono, lakini pia ukiingia kwenye social media utaona baadhi ya Viongozi wa adui yetu jinsi wanavyojiapiza kua watatuharibia kwa namna yoyote Ile ili tufungwe na RS Berkane.
Mmoja wapo ni yule aliekua msemaji wetu wa zamani akakimbilia kwa adui yetu.
Na mwingine ni msemaji wa Sasa wa adui yetu.
Uzuri clip zipo wakiahidi kutuhujumu.
Wanasema kwamba watahakikisha wanawapa RS Berkane Kila msaada watakao uhitaji ili tufungwe ikiwezekana nje na ndani lii tusichukue kombe.
Siongei uongo,Bali clip zipo na msemaji wao akisema kua, ataanza dua Kali kuombea tufungwe nje ndani,sio yeye TU Bali na baadhi ya wazee na vijana wamejiapiza kufanya Kila hujuma katika maeneo tofauti.
Hivyo Wana Simba wenzangu kuweni macho kwa maombi,Dua Sala na aina yoyote ya ulinzi ili kupingana na nguvu hizo chafu. Kweni macho na hujuma zozote.
Nimesikia kua Majasusi wa RS Berkane tayari wameshaingia nchini tayari kuipeleleza Simba
Na kawaida ya wapelelezi hutumia wenyeji wasio na mahusiano mazuri na anaepelelezwa.
Nyuma mwiko kimewauma sana baada ya kuona walichokua wanajivunia kimedumu kwa miaka miwili TU,Simba amekuja kukivunja na ana uwezo wa kuchukua ndio ya CAFCC
Nyuma mwiko hofu na wivu vimewakaa kooni.
Fainali ni vita kama vita nyingine.
Simba na Yanga hata wachukue kombe la Dunia, Watanzania wenzetu hawana madawati, hawana madawa, hawana maji n.k itafaa nini?Sasa Profesa, biashara na ajira za vijana si ndiyo mamipira yanahusika pia?
Kila jambo lina muda na platform yake ya kujadili. Ndiyo maana hauoni mada za Simba na Yanga kule jukwaa la siasa, jukwaa la elimu, jukwaa la afya, nk. na mada za moto zipo tu nyingi kule ingawa siku hizi siingii huko kwingine mara kwa mara.Simba na Yanga hata wachukue kombe la Dunia, Watanzania wenzetu hawana madawati, hawana madawa, hawana maji n.k itafaa nini?
Tuwe na kiasi kujadili haya mamipira
Kujadili ndio kutaleta hayo ?Jadili mambo ya msingi kama
Katiba mpya
Ajira za vijana
Kilimo
Technology
Biashara n.k
Mko busy na mamipira
Na wamewaweza kweli mbwa hawaHaya ndiyo mambo ccm wanapenda kuona waTanganyika masikini mkikesha nayo usiku na mchana
Ni Kwa sababu huna akili tu ndio maana unasema hivyo.Haya ndiyo mambo ccm wanapenda kuona waTanganyika masikini mkikesha nayo usiku na mchana
Kumbuka wachezaji uwanjani hua wanasali,Mungu anaweza yote.Sala hazitasaidia kitu.
Nenda kwenye majukwaa mengine ukaone michango yangu ilivyo ya maana.Jadili mambo ya msingi kama
Katiba mpya
Ajira za vijana
Kilimo
Technology
Biashara n.k
Mko busy na mamipira
Hali Tete Mazee.Punguza presha mkuu
Kwahiyo, hayo unayotaka yajadiliwe, ifanyike hivyo kwenye jukwaa la michezo..??? Na majukwaa ya siasaa (Katiba mpya), Ajira za vijana, Kilimo, Technology, Biashara n.k kujadiliwe vitu gani.??Jadili mambo ya msingi kama
Katiba mpya
Ajira za vijana
Kilimo
Technology
Biashara n.k
Mko busy na mamipira
Haelewi kitu huyo uto.Sasa Profesa, biashara na ajira za vijana si ndiyo mamipira yanahusika pia?
Nyumbu kwa akili zenu mna timu ya kumfunga Berkane? ni given kwamba kipigo kipo, nyie komaeni tu kupunguza idadi ya magoli ila sio kushinda au ndoto za kuchukua kombe lolote.Wanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane.