wanasiasa wengi ni mabilionea wana ukwasi ambao hata Bakhressa na Mo wafanye biashara miaka miamoja hawawezi kuwafikia

wanasiasa wengi ni mabilionea wana ukwasi ambao hata Bakhressa na Mo wafanye biashara miaka miamoja hawawezi kuwafikia

Sales man

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2025
Posts
571
Reaction score
843
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki .

Ila wamechagua njia ya Ku-play low key .

Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao.

Hakikisha October Una-tiki√
 
Nitatiki madaftari na Mtihani ya wanafunzi wangu ingawa penye makosa sitatiki!
 
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki .

Ila wamechagua njia ya Ku-play low key .

Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao.

Hakikisha October Una-tiki√
Ukwasi wao ni wakuiba sio biashara ndio maana uoni viable establishments kutoka kwenye pesa hiyo.
 
siyo kweli, na hapo ndipo iq na mila mila vinapoingia, wengi (wanasiasa weusi) wanatumika kuwatajirisha arabs, indians/pakis, chinese au persians lkn wao hawana utajiri kama ambao wanawezeshea hao foreigners, kwa kifupi wanatumika tu na wanaweza kuhongwa vitu kama gari mpya tu labda lkn wakatransfer ktk serikali billions kwenda iran kwa mfano.

na ndiyo maana hawajengi generational wealth i.e utajiri wa kurithisha vizazi vyako vijavyo, wengi wana multiple women watoto kila mahali wanaita urijali, no plans hivyo wakifa kila kitu kinaishia hapo kaburini kwake …
 
siyo kweli, na hapo ndipo iq na mila mila vinapoingia, wengi (wanasiasa weusi) wanatumika kuwatajirisha arabs, indians/pakis, chinese au persians lkn wao hawana utajiri ambao wanawezeshea hao foreigners, kwa kifupi wanatumika tu na wanaweza kuhongwa vitu kama gari mpya tu labda lkn wakatransfer ktk serikali billions kwenda iran.

na ndiyo maana hawajengi generational wealth i.e utajiri wa kurithisha vizazi vyaki vijavyo, wengi wana multiple women watoto kila mahali no plans hivyo wakifa kila kitu kinaishia hapo kaburini kwake …
Top politicians wa sasa kama J.K wanaweza kuwa wana ukwasi ambao hutafika 5th generation.
 
Top politicians wa sasa kama J.K wanaweza kuwa wana ukwasi ambao hutafika 5th generation.

utakuja kushangaa siku wakifa, amini ninavyokwambia wengi wanatumika tu lkn wanao pull strings huwezi kuwaona, ofcourse he is rich lkn nina uhakika siyo usd billionaire.

kwa mfano serikali ili transfer >370 million usd mambo ya sijui dowans unafikiri hiyo fedha yote itakuwa imeenda kwenye account yake? i doubt kuna watu siajabu wala hawaishi tanzagiza ndiyo wameingiziwa hiyo fedha huo ni mfano tu, ofcourse kuna percent wansiasa wanachukuwa lkn siyo kubwa hivyo kiasi cha kuwafanya kuwa billionaires (usd) …
 
downloadfile-2.jpg
 
Kama mtu anauwezo wa kumiliki gari la billion 10 means ameshapora zaidi ya billion 50...
 
Sawa, ukitaka kujua utajiri halisi, hizo pesa ziingizwe kwenye kitega uchumi chochote chenye mzunguko wa kimapato, ndio utaelewa...

Kimsingi muheshimu sana mtu yeyote ambaye utajiri wake unatokana na biashara...

Biashara ni ngumu sana hususani kwa Afrika, hata kama una mtaji wa kutosha, kumaintain mtaji na kuukuza hapo ndipo kuna shughuli...
 
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki .

Ila wamechagua njia ya Ku-play low key .

Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao.

Hakikisha October Una-tiki√
 
MTU anyedunduliza kupata profit na anayemega mabilioni kadhaa. Wanaweza kuwa na ukwasi sawa.!?
Wanasiasa hawana hela,sawa sawa na watoza kodi tu,anaachia mzigo wa mamilioni anapewa milioni.Angalia hata 10% wanazopewa kulinganisha na hasara wazofanya kwa taifa.Kama ni hivo juma kaseja angerizika
 
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki .

Ila wamechagua njia ya Ku-play low key .

Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao.

Hakikisha October Una-tiki√
Pesa nyingi hazipataikani kwa kufanya biashara. Nakubaliana na wewe.
Pesa nyingi hupatikana kwa kuchota, kuiba, kunyanga'anya. Ili mtu awe bilionea katika kizazi kimoja ni lazima aibe, adhulumu, achote, anyng'anye.
 
Hata Mataifa Makubwa ya Magharibi yaani UK, France, German na Italy wamepata utajiri na nguvu kupitia vita na ukoloni. Hakuna nguvu, pesa na uimara za kuja hivi hivi.
Nguvu za US ni matokeo (descendants) ya mataifa hayo.
 
Back
Top Bottom