Wanasiasa Watatu wasionunulika Duniani Shujaa Magufuli, Tundu Lisu na Trump!

Kiukweli Kabisa haya ndio majabali ya Siasa za Dunia Hawanaga Bei Mgongoni

Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu

Mungu mrehemu Shujaa Magufuli

Maendeleo hayana Chama!
Nilichofurahi, kumbe na wewe huwa unasema hela yako tu, unamfanyia mtu uchawa uliotukuka
 
Hakuna asiye na bei katika huu ulimwengu, ni suala la muda tu.
 
Trump umemtoa wapi sasa.are you aware of world politics ? Where is Dr slaa. Toa tramp haraka weka Dr slaa
 
Kiukweli Kabisa haya ndio majabali ya Siasa za Dunia Hawanaga Bei Mgongoni

Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu

Mungu mrehemu Shujaa Magufuli

Maendeleo hayana Chama!
Magufuli huyu huyu hahahahaha mdomo koma marehemu hasemwi vibaya ila Wachina wanajua Bei yake
 
CCM oyeeee
20230706_070419.jpg
 
Hakuna asienunulika. Hata huyo Lissu zile taarab na mapambio kumnadi Mamvi 2015 implication yake ni sawa na kula matapishi tu. Hivyo alinunulika.
Trump hakuna haja ya kumlist hapo.
Magu nae ni moto wa kifuu tu, mikwara mingi lakini alikuwa anafikia pahala anaufyata! Refer issue ya makinikia mshiko aliokuwa anaclaim tumepigwa haukuendana na refund tuliyopata... hapa kuna mambo yalifanyika nyuma ya pazia.
 
Daàaà yale yale .....safari bado ni ndefu sana !!! Tunafika hoiii....kuna swali fikirishi ..tuliomba uhuru wa nini ?
 
Back
Top Bottom