Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Wanasiasa waanza kutumia Swaga za Magufuli mfano kuwa karibu na Wachuuzi na Vijiwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Shujaa Magufuli hakuwa Mwanasiasa lakini mbinu na swaga zake mitaani ziliwafurahisha wengi

Naona mapema Kabisa Wanasiasa wa Chadema wameanza kutumia mbinu za Shujaa Magufuli

Yeye mwenyewe alisema Mtanikumbuka kwa Mazuri siyo Mabaya

Ramadan Kareem

Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu 😄😄🔥
 
Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu
Kuna Mtu unamsema Ila unachepushia hao wa CHADEMA. Futari ya madafu Ikulu umeiona Jana Ila unajificha Kwa CHADEMA.
 
Wakati wa kula mahindi ya kuchoma haya na kupokea jogoo
Yaani kila mwaka mnadanganywa na hamshtuki
 
Shujaa Magufuli hakuwa Mwanasiasa lakini mbinu na swaga zake mitaani ziliwafurahisha wengi

Naona mapema Kabisa Wanasiasa wa Chadema wameanza kutumia mbinu za Shujaa Magufuli

Yeye mwenyewe alisema Mtanikumbuka kwa Mazuri siyo Mabaya

Ramadan Kareem

Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu 😄😄🔥
🤣🤣🤣🤣🤣 mahindi mabichi. Jogooo kubwaa na kahawa kikombekimoja. Sinema za TZ kiboko
 
Kuna Mtu unamsema Ila unachepushia hao wa CHADEMA. Futari ya madafu Ikulu umeiona Jana Ila unajificha Kwa CHADEMA.
John mjanja hadi unakeraaa. Tumekuelewa. Endelea kunywa maji ya nazi na kusaidia vijana wetu kupata walau mlo mmoja kwa siku.
 
Back
Top Bottom