Wanasiasa wanaiua Elimu Tanzania

Feb 18, 2017
83
93
Eti waalimu wa Arts hawaajiriwi!

Kama wewe ni msomi au mwanafunzi utaungana na mimi eti walimu hata kama wa sanaa(geography, history, english,kiswahili nk) wametosha mashuleni!?

Asilimia 99% ya walimu wa Arts n watoto wa maskini walio shindwa kufaulu sayansi kutokana na miundombinu isiyorafiki wakaaishia kufaulu masoma ya sanaa!

Sasa wamesema hawawaajiri siwafute udahl wa hay katka hya masomo!
yaani hata kuandika nazingua coz mtu mzima anakuja na hoja za kitoto kabsa eti hatuajiri walimu wa sanaa hivi Tanzania tumefikia sehemu ambayo waalimu wametosha kabisa!?

Nilisoma masomo yote tisa naelewa nlitokaje tena kijiji kama mwenyewe naelewa nilipiga msuli wa aina gani naelewa nilitesekaje yaani kama umesoma shule za kata utaelewa nini namaanisha coz nilitamani kuwa pilot lakini mazingra hayakuruhusu coz nilipga msuli ambao siwezi tasmini wakati mwalimu wa physics na hata wa geography kdato cha nne chote sijawaonaa.

Yaani ngoja tu ndomaana huko Uarabuni watu wanajlipua tu kama umeptia shule za kata tena vijijini kabsa utanielewa.
 
What should we do now!? Kwann tusianzishe chama kipya tujisimamie mpaka uchaguz maana naona mpaka vyama vya upinzan hawatuoni wala kusemea chochote
Ama kwel aliyeshiba......
 
inauma sana, kuna jamaang alianza form 1 shule ya kata ikiwa na walim wa5 tu wote art ndo ilikua inaanzshwa mwaka 2007. alpambana akafaul peke ake alpata B histor, B civics, C kiswahil, C geograph na C history. af walfundshwa masomo ya sayans na walm wa tempo akapata D D yote ko akachakuliwa kusom HGL A-leve. n mtoto wa maskn sana jins alvosoma had kumalza ualimu wa sanaa chuo kikuu mwaka jana anajua mungu. leo wazaz wake wamekata tamaa, mwenyewe kakata tamaa bado ajatulia kichwa kmeweka moto
 
Back
Top Bottom