Wala hawajaliHuwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama utaitwa shujaa basi ni shujaa wa motoni huko kuzimu.
Kuna watu wajinga wanasema eti mtu akifa asisemwe aachwe apumzike. Apumzike wakati amewapa watu Mateso makali bila hatia, wengine wamefungwa mpaka Sasa, wengine wameuawa, wengine wameteswa na kuwa walemavu, wengine wamefilisiwa Mali zao na kukata tamaa, huku wengine wapo magerezani kwa kesi za UGAIDI wa KUBUMBA halafu aliye sababisha Mateso haya aachwe apumzike tuu kijinga jinga tuu.
By the way Mahubiri wakati wa msiba huwa kwaajili ya walio hai ili wajifunze mema au mabaya ya aliye kufa, ukiona umeguswa na ujumbe huu na ulikuwa upande wa uovu inapaswa kutubu tuu na sio kununa haitakusaidia. Maandiko yapo wazi yakiseme Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Huwezi kumsifia Maalim Seif Hamad Leo kuwa alikuwa mtu mzuri wakati umemtesa akiwa hai, umempora ushindi wake, ukapiga na kuuwa wanachama wake na yeye mwenyewe ukamfunga gerezani kwa kesi za Uhaini hewa.Na wakati huo huo unashadadia na kuwafunga akina Mbowe kwa Ugaidi hewa halafu unawaambia watu wajifunze kwa Maalim Seif Hamad.
Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuoneo namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?
Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.
Kwamba Magufuli alimtuma Sabaya aje akubake?Magufuli anakumbukwa Kama ibilisi alieletwa kwa muda kulitesa taifa.
Ambake mamakoKwamba Magufuli alimtuma Sabaya aje akubake?
Sabaya mwenyewe ameiambia Mahakama kuwa alitumwa na Mamlaka ya utezi. Na kwa kuwa Mamlaka hiyo ilikuwepo wakati akifanya hayo na haikumchukulia hatua yeyote hakuna wa kupinga ukweli huo. Kwakuwa malalamiko juu ya ukatili wake yalitolewa na hayakufanyiwa kazi.Kwamba Magufuli alimtuma Sabaya aje akubake?
Ccm na VIONGOZI WAKE WANAFIKI SANAHuwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama utaitwa shujaa basi ni shujaa wa motoni huko kuzimu.
Kuna watu wajinga wanasema eti mtu akifa asisemwe aachwe apumzike. Apumzike wakati amewapa watu Mateso makali bila hatia, wengine wamefungwa mpaka Sasa, wengine wameuawa, wengine wameteswa na kuwa walemavu, wengine wamefilisiwa Mali zao na kukata tamaa, huku wengine wapo magerezani kwa kesi za UGAIDI wa KUBUMBA halafu aliye sababisha Mateso haya aachwe apumzike tuu kijinga jinga tuu.
By the way Mahubiri wakati wa msiba huwa kwaajili ya walio hai ili wajifunze mema au mabaya ya aliye kufa, ukiona umeguswa na ujumbe huu na ulikuwa upande wa uovu inapaswa kutubu tuu na sio kununa haitakusaidia. Maandiko yapo wazi yakiseme Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Huwezi kumsifia Maalim Seif Hamad Leo kuwa alikuwa mtu mzuri wakati umemtesa akiwa hai, umempora ushindi wake, ukapiga na kuuwa wanachama wake na yeye mwenyewe ukamfunga gerezani kwa kesi za Uhaini hewa.Na wakati huo huo unashadadia na kuwafunga akina Mbowe kwa Ugaidi hewa halafu unawaambia watu wajifunze kwa Maalim Seif Hamad.
Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuone namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?
Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.
Kumbe ulibakwa na Sabaya ?Huwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama utaitwa shujaa basi ni shujaa wa motoni huko kuzimu.
Kuna watu wajinga wanasema eti mtu akifa asisemwe aachwe apumzike. Apumzike wakati amewapa watu Mateso makali bila hatia, wengine wamefungwa mpaka Sasa, wengine wameuawa, wengine wameteswa na kuwa walemavu, wengine wamefilisiwa Mali zao na kukata tamaa, huku wengine wapo magerezani kwa kesi za UGAIDI wa KUBUMBA halafu aliye sababisha Mateso haya aachwe apumzike tuu kijinga jinga tuu.
By the way Mahubiri wakati wa msiba huwa kwaajili ya walio hai ili wajifunze mema au mabaya ya aliye kufa, ukiona umeguswa na ujumbe huu na ulikuwa upande wa uovu inapaswa kutubu tuu na sio kununa haitakusaidia. Maandiko yapo wazi yakiseme Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Huwezi kumsifia Maalim Seif Hamad Leo kuwa alikuwa mtu mzuri wakati umemtesa akiwa hai, umempora ushindi wake, ukapiga na kuuwa wanachama wake na yeye mwenyewe ukamfunga gerezani kwa kesi za Uhaini hewa.Na wakati huo huo unashadadia na kuwafunga akina Mbowe kwa Ugaidi hewa halafu unawaambia watu wajifunze kwa Maalim Seif Hamad.
Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuone namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?
Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.
Musiba et alSisi tutamkumbuka na kumsifia yule puppet wa wazungu aliekimbilia ulaya kuomba nchi yetu inyimwe misaada, iwekewe vikwazo vya kiuchumi na tufunguliwe kesi na yale mabeberu yaliokuwa yanaiba rasilimali zetu ili kwenda kujenga kwao Ulaya. Jamaa anawaabudu, anawa tetemekea na kuwaogopa sana wazungu akijua wanaweza kufanya lolote kwenye nchi yake mwenyewe.
Wanasiasa wa ccm na magenge yao ni hatari kuliko alishabaabWanasiasa wanatenda mema mara baada ya kupumzika kutoka kwenye nafasi ya uongozi, ndiyo maana wengine wanaanzisha makanisa, wengine wanakuwa masheikh wa misikiti au watoa hutuba na mawaidha.
Vinginevyo hamna kitu hao watu.
Sema Mungu fundi sanaMagufuli anakumbukwa Kama ibilisi alieletwa kwa muda kulitesa taifa.
Malipo ni hapa hapa dunianiHuwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama utaitwa shujaa basi ni shujaa wa motoni huko kuzimu.
Kuna watu wajinga wanasema eti mtu akifa asisemwe aachwe apumzike. Apumzike wakati amewapa watu Mateso makali bila hatia, wengine wamefungwa mpaka Sasa, wengine wameuawa, wengine wameteswa na kuwa walemavu, wengine wamefilisiwa Mali zao na kukata tamaa, huku wengine wapo magerezani kwa kesi za UGAIDI wa KUBUMBA halafu aliye sababisha Mateso haya aachwe apumzike tuu kijinga jinga tuu.
By the way Mahubiri wakati wa msiba huwa kwaajili ya walio hai ili wajifunze mema au mabaya ya aliye kufa, ukiona umeguswa na ujumbe huu na ulikuwa upande wa uovu inapaswa kutubu tuu na sio kununa haitakusaidia. Maandiko yapo wazi yakiseme Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Huwezi kumsifia Maalim Seif Hamad Leo kuwa alikuwa mtu mzuri wakati umemtesa akiwa hai, umempora ushindi wake, ukapiga na kuuwa wanachama wake na yeye mwenyewe ukamfunga gerezani kwa kesi za Uhaini hewa.Na wakati huo huo unashadadia na kuwafunga akina Mbowe kwa Ugaidi hewa halafu unawaambia watu wajifunze kwa Maalim Seif Hamad.
Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuone namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?
Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.
Hujapata like hata ya ccm wenzako.Sisi tutamkumbuka na kumsifia yule puppet wa wazungu aliekimbilia ulaya kuomba nchi yetu inyimwe misaada, iwekewe vikwazo vya kiuchumi na tufunguliwe kesi na yale mabeberu yaliokuwa yanaiba rasilimali zetu ili kwenda kujenga kwao Ulaya. Jamaa anawaabudu, anawa tetemekea na kuwaogopa sana wazungu akijua wanaweza kufanya lolote kwenye nchi yake mwenyewe.
Kesi yake iliyomfunga yule Gaidi wa Magu ilikuwa nini vike? Maana kama ni kubaka itakuwa amekuabza wewe kukubaka hio akili mbovu ndo maana unahalalisha matendo hayoKumbe ulibakwa na Sabaya ?
Pole sana