Wanasiasa & TCRA mko wapi, watanzania masikini tunaibiwa na Vodacom

Wanasiasa & TCRA mko wapi, watanzania masikini tunaibiwa na Vodacom

Wizi umezid Voda

Sasa hivi hata kifurushi cha 500 wamepunguza dakika sasa hivi unapata dakika 10, sms 300 na 75MB, tofauti na zamani unapata dk 12, sms 300 na kifurushi cha 125MB. TCRA haitusaidii chochote, huu wizi wa mchana kweupe sijui nani anaulinda jamani? Isije kuwa wametula njama na ccm ili waanze kukusanya fedha ya 2015?
 
Back
Top Bottom