Wanasiasa kujiuzulu: Hongera sana Mhariri na Mwandishi wa gazeti la Nipashe kwa uchambuzi huu unaohusu hasara kwa Taifa

Hii nchi inatafunwa mchana kweupe lakini kila mtu anajifanya kuijua ile methali ya "kunguru mwoga huishi miaka mingi" hakuna mtu wa kuinua mdomo na kusema!!
 
Mngemkataa kwanza nyalandu kwa hoja ya gharama leo hii watz wangewaelewa upinzani.. What goes around comes around... Kuweni wapole kwa sasa dawa iwaingie taratibu
Wewe zwazwa, si mlisema alifukuzwa na chama?
 
Mngemkataa kwanza nyalandu kwa hoja ya gharama leo hii watz wangewaelewa upinzani.. What goes around comes around... Kuweni wapole kwa sasa dawa iwaingie taratibu
Baada ya hao ni wewe na tambua bila upinzani patatokea maamuzi mamoja tu hapatakuwa na watetezi na wakati huo ukifika utakuwa umesahau UPUUZI wako ulioandika leo na wewe utalalamika kama wanyonge wengine
 
Usiache kupiga ku
2020 Mungu akinipa uhai, SITAJIHANGAISHA KWENDA KUPIGA KURA.
A hata kama unawaza tofauti piga ikiibiwa watakuwa wanajua ndani ya mioyo yao walichikifanyaaa na kwa kuwa MUNGU yupo na anajua atakalolifanya alilolifanya na analolifanya kwa viumbe wakeee
 
Time ikiwapa wenye nchi CCM hakuna atakaelalamika kwani matokeo ni hayo. Pia itaepusha wapinzani kukamatwa na kupigwa.
 
....Hivi shuleni mlienda kufanya nini? Hujaona kwenye uzi majimbo yote matatu yamejumuishwa? Mwandishi amefanya kazi yake vema wewe unaleta ngonjera..
Hivi hatuwezi kufanya argument kama watanzania bila kujiita wapinzani na wasio wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…