Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Leo hii napenda kumpongeza Mhariri wa gazeti hili na Mwandishi wake, Bi Christina Mwakangale kwa habari ya kiuchambuzi inayojaribu kuonyesha fedha zinazotumika kugharamia uchaguzi wa wabunge katika majimbo ambayo wabunge wake wamejiuzulu ni nyingi kiasi gani na zaidi zingeweza kufanya nini kama zingeelekezwa kwenye maeneo mengine.
Habari hii ndio habari iliyopewa uzito mkubwa kuliko habari zote katika gazeti hili la Nipashe la siku ya leo na iko katika ukurasa wa mbele wa gazeti hili.
Mwaandishi anaandika:
YANAYOWEZA KUFANYIKA NA FEDHA ZA KURUDIA UCHAGUZI MAJIMBO MATATU
1.Kuwapa mikopo wajasiriamali wanawake 300,0000
2.Kugawa mikopo vyuo vikuu kwa wanafunzi 3,750
3.Kuchimba visima vya maji safi 1,000
4.Kuwezesha ujenzi maabara za sekondari 257
5.Kununua madawati milioni moja
6.Kujenga zahabani 187
Gharama hizi ni kwa majimbo ya Singida Kaskazini,Kinondoni na Siha ambapo mwandishi amekadiri kuwa kila jimbo linaweza kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 5.
Mwandishi ametaarifu kuwa jimbo la Dimani visiwani Zanzibari lilitumia shilingi bilioni 1.7 katika uchaguzi mdogo baada ya aliekuwa mbunge wa jimbo hilo, Hafidh Ali Tahir kufariki na ametumia taarifa hii iliyowahi kutolewa na Tume kukadiria gharama za majimbo haya matatu.
NB:
Itakuwa vizuri zaidi kama Tume ya Uchaguzi itatoa gharama halisi ya fedha inayotarajia kutumia kugharamia uchaguzi katika majimbo haya matatu.