Wanasiasa bana

komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
20,548
5,646
Yani vitu vingine hutia kinyaa, unakuta mtu mzima na midevu yake anaongea vitu visivyokua na msingi kisa kumridhisha flani
Screenshot_20191104-221745_Lite~2.jpeg
 
Huyo analinda ajira yake, usimlaumu, kumbuka mkulu alikua ameanza kumsema sema vibaya, imebidi aongeze kasi ya kuimba mapambio. Kwa alivyo vurunda Dar, kuna uwezekano angelazimishwa kumpisha Mwaniri yule wa Tabora, hivyo lazima aimbe sana na kusifia sifia.
Leo hii Bongo ni mwendo wa kushindana kwenye mapambio ya kumsifu mkulu, yaani Tz ya leo inanikumbusha Kenya ilivyokua miaka 30 iliyopita, wakati ule mapambio ya kumsifu rais Moi ndio yalikua habari ya mjini.
Yaani ilikua desturi ya sisi wanafunzi kutolewa madarasani na kusota kwenye pembezoni mwa barabara ambayo msafara wa rais utapita, akianza kujongea jongea ghafla tunaanza mapambio.
Akihutubia kwenye mkutano wowote, kuna makachero kazi yao ilikua kuchunguza nani hashangili au kupiga makofi kwa furaha, kipindi hicho ungepoteza uwaziri kisa ulionekana umenuna wakati rais anahutubia.
 
Huyu ni mtoto mpendwa na ukali wote wa jiwe ila huyu ndiye kiumbe pekee anaeweza kumwambia usinitoe u RC Dar na akasikilizwa.

Kuhusu mapambio huu ni wakati wa mavuno kwa wasani. Yaani ukimsifu mtukufu na akafurahi unakabishiwa jimbo kama andazi.
 
Duh!!mi huyu jamaa akili zake sijui kazitoa wapi walai..hta km ni mahaba yeye kapitiliza sana hta km ni kujipendekeza ili azidi kubaki madarakani
Huyo analinda ajira yake, usimlaumu, kumbuka mkulu alikua ameanza kumsema sema vibaya, imebidi aongeze kasi ya kuimba mapambio. Kwa alivyo vurunda Dar, kuna uwezekano angelazimishwa kumpisha Mwaniri yule wa Tabora, hivyo lazima aimbe sana na kusifia sifia.
Leo hii Bongo ni mwendo wa kushindana kwenye mapambio ya kumsifu mkulu, yaani Tz ya leo inanikumbusha Kenya ilivyokua miaka 30 iliyopita, wakati ule mapambio ya kumsifu rais Moi ndio yalikua habari ya mjini.
Yaani ilikua desturi ya sisi wanafunzi kutolewa madarasani na kusota kwenye pembezoni mwa barabara ambayo msafara wa rais utapita, akianza kujongea jongea ghafla tunaanza mapambio.
Akihutubia kwenye mkutano wowote, kuna makachero kazi yao ilikua kuchunguza nani hashangili au kupiga makofi kwa furaha, kipindi hicho ungepoteza uwaziri kisa ulionekana umenuna wakati rais anahutubia.
 
Huyo analinda ajira yake, usimlaumu, kumbuka mkulu alikua ameanza kumsema sema vibaya, imebidi aongeze kasi ya kuimba mapambio. Kwa alivyo vurunda Dar, kuna uwezekano angelazimishwa kumpisha Mwaniri yule wa Tabora, hivyo lazima aimbe sana na kusifia sifia.
Leo hii Bongo ni mwendo wa kushindana kwenye mapambio ya kumsifu mkulu, yaani Tz ya leo inanikumbusha Kenya ilivyokua miaka 30 iliyopita, wakati ule mapambio ya kumsifu rais Moi ndio yalikua habari ya mjini.
Yaani ilikua desturi ya sisi wanafunzi kutolewa madarasani na kusota kwenye pembezoni mwa barabara ambayo msafara wa rais utapita, akianza kujongea jongea ghafla tunaanza mapambio.
Akihutubia kwenye mkutano wowote, kuna makachero kazi yao ilikua kuchunguza nani hashangili au kupiga makofi kwa furaha, kipindi hicho ungepoteza uwaziri kisa ulionekana umenuna wakati rais anahutubia.

Duu basi Kenya ilipitia kipindi kigumu.
Poleni kwa yaliyo wasibu.
 
Duu basi Kenya ilipitia kipindi kigumu.
Poleni kwa yaliyo wasibu.
LOL mpaka kulazimishwa kumshangilia mtu kijeshi kweli wamepitia kipindi kigumu.

Mbona Magu hajafika huko, Magu anasifiwa kihalali kabisa sababu kama wewe ni mfuatiliaji wa yanayoendelea nchini na ni mzoefu wa hii nchi huwezi kusita kupongeza pale panapostahili,

Uzuri Magu anasifiwa mpaka nje ya mipaka ya Tanzania, watu mpaka huko Jamaica wanajichora tattoo za Magu, huyo Moi Sidhani kama ana lolote la kulingana hata 5% ya Magu katika uchapa kazi.
 
Mambo kama haya kwenye hii video yalitendeka kwetu enzi zile, ila kwa Tanzania ndio hali ya leo

Ndio hivyo siasa za Tanzania ni tofauti sana, ujue tu kipindi cha Nyerere walipiga kura za kuchagua vyama vingi au chama kimoja, wengi zaidi ya 98% walichagua mfumo wa chama kimoja ila Nyerere alikataa na kuamua mfumo wa vyama vingi uingie japo wananchi hawakuutaka

Mambo ya vyama vingi bado sana Africa, huko kwa wazungu haukuanza smoothly kama tunavyodhani
 
Uwa nawashangaa wanaoleta quotes za bashite I guess they are equally fools like him
 
100%.... Nakubaliana na wewe...... awamu hii inanikumbusha story nilisimuliwa na mkenya kuhusu Moi na harambee,,,, Mungu atusaidie jamaa asiende 30+ kama rafiki zake pk na m7!

Ila binafsi magu nimempenda, ametuchangamsha sana wabongo, tulilala sana, tukimaliza chuo tulikua tunategemea ajira na uvivu mwingine mwingi mwingi..... Hopefull baada ya huu utawala wake tutakua mbali (kwa maana ya mentallity yetu maana ilikua ya kijinga sana, tegemezi zaidi)

Back
Top Bottom