Wanasiasa 40walipata ajali mbaya porini,mkulima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote pamoja.Alipoulizwa na polisi juu ya ajali hiyo na maiti zilipo mambo yalikuwa hivi:
Polisi:Ziko wapi maiti?
Mkulima:Nimezizika.
Polisi:Unahakika wote walikuwa wamekufa?
Mkulima:Kuna wengine walikuwa bado wanalalamika kwamba awajafa,lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo mi nkuajua tu wanadanganya nikawafukia(nikawazika) wote.