johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,152
Nimesikia habari hii kupitia radio lakini imeandikwa na gazeti Mtanzania mwenye taarifa kamili naomba atujuze tafadhali
Haya mbona hata uchaguzi ulopita yalikuwepo na majamaa yakapeta tu?View attachment 404672
NCHI HII FISADI NI LOWASA TU
hawa wa kina escro, lugumi, epa, meremeta, simon and group treni, rada, mv, nyumba zile walaaaaaaaaaaaaaa..........