Lakini waswaheli wanasema MANENO MATUPU HAYAVUNJI MFUPAPoleni na Mapambano, wakuu
👉Kuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya
"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"
👉Martin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
👉Prof Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
👉Kanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
👉Nyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
👉Mama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
👉Makonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"
Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton Mahal
Sasa mbona mtu akijenenea mabaya yanamtokeaWaliyaongea haya wakiwa tayar wana % kadhaa za mchakato kuanza. Tayar kulikua na background moves, hawakusema wakiwa wamekaa tu. They were in it already. They had plans, strategies and they kept staying on a focused purpose.
Hayakua maneno matupu. Yalikua na vitendo. Ndio maana unaona ni manemo machache tu. Ila mipngo ilikua mingi.
Hivyo na wewe usiseme tu huku umenyoosha miguu unakunywa mbege. My brother, maneno bila mipango na utendaji, are just empty words, and universe will ignore them ,hence never will manifest.
Ongea kisha NENDA KAKAZE
Kuna huwa wanasema usimtakie maneno hayo mabaya yasije kumpataLakini waswaheli wanasema MANENO MATUPU HAYAVUNJI MFUPA
ujue yuko kwenye mazingira hayo. Yan ndivyo anavyoishi. Huwez ongea kitu usichokijua au kukifanya au kukitaka au kilicho kwenye mazingira yakoSasa mbona mtu akijenenea mabaya yanamtokea
Chalii unazingua sana ujue 😂Mkuu we ndo Intelligent businessman ?
Mhm kila siku walokole wanasema wanapokea gari mbona bado wanapuyanga tu ?Kuna ukweli fulani Ila wanasema hayo lazima ujiungamanishe na ulimwengu au asili vzr
Mimi sio yeye, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxMkuu we ndo Intelligent businessman ?
Kwanini JohChalii unazingua sana ujue 😂
Nime kutafuta Sana jombaMhm kila siku walokole wanasema wanapokea gari mbona bado wanapuyanga tu ?
Kaka chama letu kama limepoa hivi?Mimi sio yeye, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
Bas duniani wawili wawiliMimi sio yeye, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
Nilipotea kidogo mkaliNime kutafuta Sana jomba