Habari wana jamii forum poleni sana na majukumu ya kila siku na harakati za kutokomeza hili zimwi jipya la nga'mbo linalotuandama..kwa waliofunga asalaaam aleikum mola aendelee kupokea dua zenu..haya niende moja kwa moja kwenye mada..ilikuwa mwaka 2015 sikumbuki mwezi wala terehe wakati nikiwa napata chakula cha usiku maeneo fulani hivi mji kasoro bahari ndipo nilipokutana na huku muhusika wa mada yetu ya leo..ubaya zaidi sikumbuki Jina lake kabisa....
Kabla ya kukutana nae binafsi sijawahi kuwa interested na kijana yoyote mwenye ngozi nyeupe yaan white person..kwa sababu kwa mtazamo wangu nilikuwa nawaona wachafu..anyway ni fikra tu basi bwana jioni hiyo mtazamo wangu wa miaka mingi ukabadilika pale nilipokutana na huku kijana wa kichina..alikuwa amekuja moro kikazi baada ya kutokea iringa kikazi yeye ni constructor kwenye kampuni ya ujenzi...basi bwana akanifuata na kuniuliza kitu wakati huo na mimi sikuwa mwenyeji sana coz nilikuwa pale kikazi tu..sasa Alitaka kuniuliza kuhusu utaratibu wa pale na nini kizuri cha kupata kwa muda ule..basi bwana baada ya kumuelezea akaniomba kama sitojali nijumuike nae na mm sikua na hiyana mtt wa kike..
Tukapata chakula na kinywaji na mazungumzo ya hapa na pale mwisho wa siku tukakubaliana kwann tusipumzike pamoja na ukizingatia pombe zilikuwa zishatamalaki..basi hao hoteli ambayo mm nilipanga tuka check out tukaenda alipafikia yeye..kwa kweli sikuwa na expects anything special kutoka kwake coz pamoja na kutowapenda white people wachina walikuwa ndio the worst kuliko wote kutokana na stori nilizokuwa nizisikia especially kitandani...so nilitaka tu nibadilishe ladha nione na mimi yaliyomo yamo??
Basi tukaingia chumbani chumba kilikuwa kizuri hatari na hoteli ilikuwa maarufu sana kwa kipindi kile pale Morogoro. So kiwanja cha mechi kilikuwa kimepewa maandalizi ya kutosha kikisubiri ufundi tu wa wachezaji wake......itaendelea