Wanasayansi walioanzisha idea ya Taxonomy/Nomecleture/Scientific classification/Binomial

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,441
Salaam wakuu
Kuna kitu nakiwaza na mwenye kujua historia aje atuambie
Ni kuhusu wanasayansi waliofanya classification( scientific classification) kuhusu miti,wanyama na wadudu
Kitu ninachojiuliza ni kwamba ukiangalia botanist,zoologist na naturalist wengi waliishi miaka ya zamani especially karne ya 17 na 18 ambako kimsingi naamini suala la usafiri kutoka ulaya kuja Africa ilikua shida na tukumbuke wanyama wengi,miti na wadudu wengi wanapatikana Africa
Sasa je waliweza vipi kugundua wanyama ,wadudu na miti yote hapa Africa na kuipatia majina ya kisayansi ambayo tunayatumia hadi leo
Mwenye kujua historia nzima ya classification za wanyama aje atujuze
 
Back
Top Bottom