yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
Waambie hao, il hayo maswali ya umekula mara unafanya nini siyapendi huwa naona uzushi tu!
wewe ata kama wakikupa kila kituu.... bado utaomba tuuuu.... true love never die.....
Waambie hao, il hayo maswali ya umekula mara unafanya nini siyapendi huwa naona uzushi tu!
![]()
we mwekundu na wenzako wapaparukieni tuuu hao watoto..... kuhonga sio ishu.. unaweza kakata kiu yake...komaa utatoka...wape moyo...
Yeesu lanye!!! Inamaana wadada mnapenda pesa hivo, hahahaha.... mi nawabishiaga rafki zangu, wao wananiambiaga ukiwa na pesa utapata msichana yeyote, mi nasemaga hapana.... lakini kumbe kuna ka ukweli...... aisee ngoja niusake utajiri...AIV LEO TOKA KWENE UWANJA WA MAOMBI:
MDADA: E Bwana tuma malaika wako wanisaidie nipate mume mapema, lakini vunja vunja nguvu zote za giza zitakazosababisha nipate mume mfupi, tengua mipango yote ya adui kuniletea mume mfupi....
(Jirani kulikuwa na bwana mfupi sana nae anaomba.)
JAMAA: E Bwana asante kwa kunifanya bilionea asante sana Bwana sasa naomba mke, naomba mwenza wa kutumia nae mali hii uliyonipa..
(mdada baada ya kusikia sala hiyoo nayy akarejea maombi tenaa)
MDADA: Bwana naona umesikia ombi langu, nisamehe kwa kujidai nachagua mume, hata huyu jirani atanifaa tu, asante sana
Kweli?hujapenda wewe unaweza uliza hadi ume pass stool mara ngapi leo baby?
ukweli usiopingika wangu!!
Umeonaeee! Hivi mkuu na wewe unafanya hivyo lakini au ndo wanaokataa hapa na kupinga.