Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,925
- 51,010
- Thread starter
- #21
Wengine hatuna ukazuzu wa kuamini kila kitu tuambiwacho!!We elewa tu ni CCM mpya, basi
Wengine hatuna ukazuzu wa kuamini kila kitu tuambiwacho!!We elewa tu ni CCM mpya, basi
Wamejipodoa wakapodoka balaa,wanachokosea sasa badala ya kuwapa watz maisha bora wanatupa kiki na comedy za kijinga,hosp dawa hamna,bandari hoi,bunge limekua la mipasho ,visasi,kumsifia rais tu"Cosmetics changes" huwa haimbadilishi mtu bali huremba tu sura yake lakini mtu hubakia ni yule yule! Huyu mwana mama aliyetumiwa hapo kama mfano tabia yake, mitazamo yake ambayo ndiyo hasa huumba mwenendo wake na kujenga haiba yake, haibadilishwi na huko kujipodoa.
CCM IMEJIPODOA?
Yaani wewe ukila huwa masikio yako hayawezi kusikia. Humu ndani kuna mabandiko mangapi kuhusu Lissu!Mshechoka kuongelea ishu za Nairobi Mara hii?