Wanapokosea wapinzani dhidi ya CCM

Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo...
Hivi kati ya Magufuli na Lissu nani mwenye chuki na mwenziwe?

Anyways hivi huoni kuwa ili kueupuka gharama za ulinzi wa raisi ikiwemo kukodisha walinzi kutoka Rwanda kwa gharama za kodi ya wananchi ni bora kumchagua Raisi ambae akipigwa risasi hafi

NI YEYE TU 2020!!!
 
Uliwahi kumsikia Trump au Obama akipiga kampeni kwa kujisifia amejenga madaraja au barabara? Kipimo cha ubora wa barabara au madaraja ni pale yanapokumbana na hali kama iliyopo ya mvua nyingi.
 
Bunge lenyewe linafanyika gizani ni mtanzania yupi anayejiuliza hoja ya namna hiyo? Hoja iliyotrend bungeni ni Prof Assad kushughulikiwa hasa aliposema kuna trillion 1.5 hazijulikani zilipo.
 
Anajidai ni msemaji wa watanzania angali hana akiki kichwani. Trash
 
Reactions: BAK
Hoja zimekosa reality
 
Siku hizi hamuongelei habari ya chamema imekufa, au mikutano ya chadema imekosa nyomi
 
https://www.facebook.com/
 
Ogopa mtu mwenye ndimi mbili..Kagera alisema tetemeko hajaleta yeye..leo anawaonea huruma watu waliokumbwa na mafuriko Boko...Lissu 🔧🛠🔧🛠
 
Yaani wewe hujui hata kama unataka uhuru au la!? Duh Mungu akusaidie ujitambue.
 
Nyie mna mpya gani tushawachoka

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tena chuki mpaka kupiga watu risasi huyo hafai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…