hayo ni maneno ya wazir wa mambo ya ndani..mh Mwigulu kuwa kwa wale wote watakaoonyesha kufurahia jambo hili wataitwa kwenye vyombo vya sheria kujieleza..
my take,kabla ya kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria kujieleza...kwa nn serikali isijiulize kwa nn imefikia hatua mpaka polisi kuuwawa wananchi wanashangilia..nn tatizo mpaka inatokea hivi??
Hapo ndipo mnapokosea.najiuliza swali namna ya kuwapata coz ID feki ndo kanuni za jf, mtu alienda internet cafe ndo akaandika maoni yake ambayo hayakuifurahisha serikali na akaunt iliyotumika asiitumie tena, watampataje?
Mimi Kwa Maoni Yangu, Mwigulu Ni mojawapo ya watu ambao Kwa Tukio Hili wanafaa wachunguzwe, Hili tukio lina Kila dalili ya Kuwa Lilipangwa kwa siasa. Masikini Watoto wa Watu, Askari wale wanne wanaweza Kuwa walitolewa Kafara na Watu waovu sana Kisiasa. Mungu Sii Mwanadamu Ukweli Utajulikana!
Kwa risasiDah yaani kwa kifupi wanofurahia ni wamojawapo watasaidia kujua kwa nini askari wanauwawa.
Hajasema wasikosolewe,kasema wale wote wanaoonyesha KUFURAHIA MAUAJI,soma vzr uelewe hapo mkuuwasikosolewe wao kama kina nani? acha watu waongee wana haki ya kuongea chochote
kama kila siku unataka kusifiwa tu mapungufu lazima yasemwe tu
Hajasema wasikosolewe,kasema wale wote wanaoonyesha KUFURAHIA MAUAJI,soma vzr uelewe hapo mkuu
Serikali ndiyo inawachonganisha wananchi na polisiHayo ni maneno ya Waziri wa Mambo ya Ndani mh. Mwigulu Nchemba kuwa kwa wale wote watakaoonesha kufurahia jambo hili wataitwa kwenye vyombo vya sheria kujieleza.
My take: Kabla ya kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria kujieleza kwanini serikali isijiulize kwanini imefikia hatua mpaka polisi kuuawa wananchi wanashangilia?
Umeshawahi kuandika kwa kufikiri au hapo ndio unetumia akili kufikiri?Majizi Chadema wameungana na Mafisadi kupigania maandamano badala ya kupigania maendeleo .!!!
Aliyewaambia watanzania wanahitaji maandamano na siyo maendeleo ni nani ??
Shame to you all
Umenifurahisha sana. Hisia za majonzi na furaha zinakuja tu zenyewe kutoka ndani. Watu wanalazimishwa kucheka na kulia sasa.kwani kuna ulazima wa kusikitika kama mtu hana hisia hizo?
Hili suala lina changamoto sana kuwatia hatiani watuhumiwa labda wamkamate anayefanya biashara ya internet lakin naye atajuaje mteja aliyefanya hivyo?Hapo ndipo mnapokosea.