Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
kwani unataka kutuambia sikuzote hawakuwa siriazi siyoKwa hiyo mlitaka polisi wawachekelee?
MH! Nachelea kuamini kuwa Jeshi la Polisi linapinga kukosolewa kwa maana ile dhana ya 'kushirikiana na raia wema' inafutika kwa kasi. Nikiangalia hayo maneno kwenye alama za semi, natumaini mkuu alimaanisha 'kuhamasisha uhalifu' na si 'kukosoa jeshi la polisi'.JESHI la Polisi limefura. Ni kufuatia watu mbalimbali kulibeza mitandaoni kwa madai kuwa, limejikita katika matamko na mazoezi ya kukabili maandamano ya vyama vya siasa vya upinzani, kuliko kujipanga kukabiliana na uhalifu mkubwa ukiwemo ujambazi, anaandika Pendo Omary.
“Inashangaza kuona baadhi ya watu wanashabikia uhalifu kutokea kupitia mitandao ya kijamii na natoa onyo kali kwao, waache kuhamasisha uhalifu maana tunawasaka, tutawakamata na kuwahoji ili sheria ichukue mkondo wake.”
Jeshi hilo limesema, tayari limewakamata baadhi ya watu wakihusishwa na mauaji hayo.
======
hata polisi nao wafuate sheria, kwani haikutungwa kwa ajili ya raia wa kawaidaKila mtu afuate sheria
Alie kwambia kuwa polisi kila siku wapo sahihi ni nani? ina maana huwa hawakosei.. huwa hawashindwi kesi?Polisi siku zote wapo sahihi. Nyie mnaowabeza mna ajenda zenu za siri
Kweli mkuu ingawa polisi wote wanne waliuawa lakini walijitajidi sana.
Dah yaani kwa kifupi wanofurahia ni wamojawapo watasaidia kujua kwa nini askari wanauwawa.hayo ni maneno ya wazir wa mambo ya ndani..mh Mwigulu kuwa kwa wale wote watakaoonyesha kufurahia jambo hili wataitwa kwenye vyombo vya sheria kujieleza..
my take,kabla ya kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria kujieleza...kwa nn serikali isijiulize kwa nn imefikia hatua mpaka polisi kuuwawa wananchi wanashangilia..nn tatizo mpaka inatokea hivi??
Sasa kati yangu na yako nani anaonyesha hayo "mastress". Unanihukumu kwa tarehe niliyojiunga na JF? Ha ha ha.naona una mastress zako.kwakukaza misuli ya shingo, umgeni nini humu JF. familia ya JF huwa tuna uvumilivu, hakuna mtu anawabeza polisi wetu lazima wote tuheshimiane. kuna kitu kinaitwa bill of rights and rule of law