Jeshi letu la police linafanyakazi nzuri sana linang'aa kiutawala na linaongoza kwa kuwatishia raia wasio na silaha, wameona size yao ni raia na walipojaribu kwa majambazi walipata moto mkali ndo maana wamerudi kwa raia vibonde wao, kagera kule juzi wameuawa raia 56 na inasadikika wameuawa na askari wa Rwanda lakini kimya hadi saiv, sisi raia tusiojua hata kushika bastola tunapigiwa mazoezi kwa ving'ora na washawasha, Jeshi letu la police hoyeeeee!!Ahahaha kweli,bwana anayetakiwa kukosolewa nchi hii ni UKAWA tu hasa Lowasa,Tundu,na Mbowe,na Maalim wengine wote ni kusifia tu
Polisi siku zote wapo sahihi. Nyie mnaowabeza mna ajenda zenu za siri
Hivi ww unatoa kauli na bado unajua kwamba siraha hizo zitaenda kuuwa na maeneo gani?Unajisikiaje zikija uwa wazazi wako/mke wako/Dada yako/Watoto wako/ndugu zako wakaribu.Siyo sawa kuongea lugha hiyo kumbuka waliopoteza maisha wanafamilia kama wewe.Watoto wao walikuwa wanawahitaji baba zao ila maisha yao yamekatishwa kikatili.Vuta hisia ndiyo utajua si jambo la kufurahia kamwe.Samahani kama nimekukwaza.Na bado
JESHI la Polisi limefura. Ni kufuatia watu mbalimbali kulibeza mitandaoni kwa madai kuwa, limejikita katika matamko na mazoezi ya kukabili maandamano ya vyama vya siasa vya upinzani, kuliko kujipanga kukabiliana na uhalifu mkubwa ukiwemo ujambazi, anaandika Pendo Omary.
Kwa hapa nalipongeza sana Jeshi letu la polithi kwa intelligencia hii ya kugundua kuwa kumbe wanamitandao wamelichoka.Nawaomba tu wajitahidi kuboresha hiyo INTELLIGENCIA yao iwe ina Baini na attack kama ya Jana.I salute u gayz
Makamanda uchwara mabomu mwili mzima kumbe hamna kitu
Tukisema ukweli tunasakwa daaah ngoja tukae cul tusije kuwa tunachochea....Time will tell.
Jeshi letu la polisi halifungamani na chama chochote!hapo umesema uongo!na hilo ndo tatizo kubwa la watanzania hatupendi kusema ukweli sijui kama ni uoga au unafiki.Jeshi letu la polisi halifungamani na chama chochote cha siasa. Wanafanya mambo yao kwa weredi wa hali ya juu sana, Tuendelee kuwaunga mkono. Wapunguze tu matamako kwenye vyombo vya habari maana nchi yetu haina tishio lolote la usalama kama wanavyojaribu kutwambia. Nimesikitika kuona hata kampuni ya SGA ikitoa security alert kwa wateja wake, eti tarehe 1 September kutakuwa na hali tete ya usalama.... this is a big lie!
Hahahahaha stop joking bhanaaaaKweli mkuu ingawa polisi wote wanne waliuawa lakini walijitajidi sana.