Wanaovujisha taarifa na nyaraka muhimu za serikali, hii imekaaje?

Ungesema ni uongo ingekuwa sawa lkn kama kweli mmmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya JPM kuvujisha siri na ampatie Dadid Kafulila siyo kweli bali ni kampeni ya wahasimu wa Magu ndani ya CCM ndiyo watamkayo hayo.
Mbona hii Ikulu hawajaikanusha Mkuu?au wewe umegeuka msemaji wa Rais?
 
Ebu twende taratibu sasa Mkuu.Deni tunalodaiwa limetokana na nini?tulikopa kwa ajiri ya shughuli za maendeleo au?na kama tulikopa yanini kuwe na siri as long wakopaji ndio walipaji?
 
Ebu twende taratibu sasa Mkuu.Deni tunalodaiwa limetokana na nini?tulikopa kwa ajiri ya shughuli za maendeleo au?na kama tulikopa yanini kuwe na siri as long wakopaji ndio walipaji?

Kama serikali inakopa au imepewa mkopo huwa inakuwa official na inatangazwa na kila mwananchi anafahamu.

Haya mambo mengine kama si official basi yanabakia kuwa unofficial hadi yatakapokuwa official.

Pili, hili jambo si mkopo na wala taarifa zaidi hatuna kwani huyo kibaraka wa wazungu Tundu Lissu yeye ni mwandishi wa habari mpaka atangaze jambo hilo?
 
Kama ndivyo bac Mimi silioni tatizo kwa hao watoa nyaraka kwa Lisu wala Lisu mwenyewe
 
.....watu wenye Mawazo kama haya uliyoandika ndio wamejaa huko Seriakalini
......hebu niambie chanzo cha hilo DENI yaani upuuzi wa mkurupukaji mmoja anaeitia madeni Nch ndio iwe Siri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....watu wenye Mawazo kama haya uliyoandika ndio wamejaa huko Seriakalini
......hebu niambie chanzo cha hilo DENI yaani upuuzi wa mkurupukaji mmoja anaeitia madeni Nch ndio iwe Siri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila mimi si mtu wa serikalini il ani mdau tu na msajiriamali.

Napenda kufanya uchambuzi tu wa masuala mbalimbali kutafuta ukweli.
 
Ukiona hivyo walioko ndani ya serikali wamechoshwa na tilalila ya wanayemtumikia.
 
Mkuu umejizungushaa hadi kufikia Comment hii umejidhihirisha nawe ni walewale Mlifanya mikurupuko
yenu Deni linatuumiza wengine hata hatuna Nasaba nanyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yawezekana wapo watumishi wengine wanaovujisha habari ambazo hazipaswi kila mtu azifahamu, naiomba swerikali yetu ifanye uchunguzi wa kina ili kujua ni nani aliyevujisha habari hizi? N kama akipatikana apewe adhabu kali sana ili iwe fundisho kwa wenye tabia kama hizo.
 
Shida iko mahali tena ni kubwa kwa vyombo vya usalama. Mfano wakuu wa vyombo hivyo wanafikiri uzalendo ni kulinda madudu na udhalimu wa watawala, chama dola na serikali dhalimu. Kumbe huo ni usaliti kwa wananchi.
 
Umemaliza yote mkuu.

Hawa jamaa wanajivisha umungu mtu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…