Wanaotumia simu ya Tecno N3

Wanaotumia simu ya Tecno N3

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
855
Natumia simu ya Tecno N3,je naweza kuangalia chanels zilizopo kwenye Dstv kwani nimeinstall apps ya Dstv nikifungua inaniambia com.problem see service provider,pili bluetooth ninapo pair na simu nyingine inanipa password 0000 au1234 naingiza pswd hiyo pande zote lakini baada ya muda inaniambia bt
connection problem,mwenye uzoeffu nisaidie









uip
 
Ngoja wataalam waje Mkuu nani nangoja
Majibu maana Tecno iko na bei poa.
 
Back
Top Bottom