Wanaotuma watu kujilipua mabomu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaotuma watu kujilipua mabomu??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pascaldaudi, Apr 9, 2011.

 1. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau, hivi aliyeanzisha watu kujilipua ni nani?? Hivi inawezekana kuja kuwa historia kwa watu kutambua kuwa huo ni ujinga na ni sawa na kuwa jambazi??? Mfano Nigeria, wamepiga kura lakini eti bado watu wanajitoa mhanga siku ya kupiga kura!
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa umegundua waarifu wanaotakiwa kupelekwa ICC hukooooo the Hague, lakini utawasikia wakisema oh! George Bush, Tony Blair, bla bla. Dunia hii bwana wahuni wanapeta tuu ila kosa ni kwa wale wanaojaribu kuwazuia.
   
 3. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  Hiyo yote ni kazi ya shetani ndugu, mtu akishajilipua anakwenda moja
  kwa moja kuzimu.
   
Loading...