yathriba
Member
- Feb 7, 2011
- 35
- 6
Habari wadau,
Leo nataka tuambiane kila ambae alishawahi kuibiwa either na kibaka njiani ama kuvunjiwa nyumba na wezi ama wale wanaoitwa majambazi kusema kweli wanaturudisha nyuma, mtu uko buzz kutafuta yeye anakuja kuchukua kiulaini kama chake, inasikitisha kusema kweli.
Hapa naugulia maumivu ya flat screen yangu mpya hata mwaka haijatimia wamevunja wameondoka nayo.
Je, wewe mwenzangu ulishawahi kukutwa na tukio gani?