Wanaotembea na wake za watu

Mkuu ze-dudu nakwambia nipo zaidi ya akili nyingi sbbu jamaa namfaham hashindwi chochote ni mtata htr aachani na manati kutoka Czech Republic, kwaiyo najua kbsa hpa nabet vitu viwili roho yangu au marinda yangu
Katik hii dunia mwanadamu mwenye akili ni mtanzania pek ake

Kwa mishale mingi unavokwepa wew ni hatari ila nikushaur ujinga mmoja

UWE UNAJITAIDI KUNYWA MAJI MENGI SAAN KILA SIKU ILI MOYO UWEZE KUELEA KWAN SIKU IKIFIKA DOSO LAKE LITAKUA ZAID YA LILE LA KURUTA ALIETOROKA DEPO ALAFU AKAENDA KULA BATA MJINI
 
smartphone/safi ama smart lugha ya picha una maana flani
 

kaa mbali na vitu vyenye ncha kali, vitu rahisi kutengenezea vitanzi na kadhalika.

Kuchapiwa oyeee
 
Mke wa Mtu naetembea nae sasa alikuaga Demu wangu kabla hata huyo mumewe wa sasa hajamjua, na hatukuwahi kugombana. Mizunguko tu ya kimaisha ndio ilitutenganisha na kutuachanisha. So Ki msingi mumewe ndo anatembea na Demu wangu wa Zamani.
Hatari hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…