Kwake mkuu kwenye packing yao magari kama show room, nilikua na shida na jamaa kufika ckumkuta nikaambiwa amesafiri, ni hbr ndefu kdgo mkuu cwezi kuiweka hpa yote ila kifupi ni hivyoAlikuonyesha mkiwa kwake?
kama sio msambaa mdigo kama nakuona mfupi kama nyundo ya VETA
Umefaidi...hakukumbuka swala la mimba itaingia...bila shaka ulisogeza chupi pembeni mkwaju ukapenya hahahah.Kwake mkuu kwenye packing yao magari kama show room, nilikua na shida na jamaa kufika ckumkuta nikaambiwa amesafiri, ni hbr ndefu kdgo mkuu cwezi kuiweka hpa yote ila kifupi ni hivyo
Mtoto kadata mkuu ze-dudu nilichofanya mimi nilitumia ile falsafa ya bwana Bin Ladenkwamba-If you live like you in the past the future will never find you, kwaiyo hkna cha simu ujumbe tunapeana Ana kwa Ana hkna mshenga wala cm ili hta jamaa akidukua akute hewaiyo manati mbwembwe tu fala huyo ili watu wamuogope
mkojoze huyo akinogewa sana mwambie aombe talaka amteme jamaa ujifaidie vizuri.....yeye si anaona bunduki ni mali zaidi kuliko kutumia kitanda
Sasa ulivyo mjinga umeweka taarifa zote za huyo mume wake we ngoja akupangie siku ndio utajua ulivyojiandaa navyo hapo juu pia usidhani MUNGU kalala!Kwake mkuu kwenye packing yao magari kama show room, nilikua na shida na jamaa kufika ckumkuta nikaambiwa amesafiri, ni hbr ndefu kdgo mkuu cwezi kuiweka hpa yote ila kifupi ni hivyo
Cku iyo mkuu ckupiga niliondoka moyo ukiwa unadunda kwa kasi ya Dream liner kwa sbbu mshikaji yule ni mtata sana nilihofia usalama wangu, nilikuja kupiga bda ya yeye tena kunitumia picha za pornoUmefaidi...hakukumbuka swala la mimba itaingia...bila shaka ulisogeza chupi pembeni mkwaju ukapenya hahahah.
Mbona povu mkuu au ndo jiwe kunako giza! Mume wake hawezi kufika hpa Asmara usifikiri mi ndeziSasa ulivyo mjinga umeweka taarifa zote za huyo mume wake we ngoja akupangie siku ndio utajua ulivyojiandaa navyo hapo juu pia usidhani MUNGU kalala!
Tatu acha kufatilia mambo ya watu kama huyo mwanamke haridhishwi hayakuhusu.
swadakta shehe una akili sanaMtoto kadata mkuu ze-dudu nilichofanya mimi nilitumia ile falsafa ya bwana Bin Ladenkwamba-If you live like you in the past the future will never find you, kwaiyo hkna cha simu ujumbe tunapeana Ana kwa Ana hkna mshenga wala cm ili hta jamaa akidukua akute hewa
Brother isiombe yakukute
Walikuwa wanaongea cha kwao na mimi nikaongea cha kwanguHii ni lugha gani mbona sijaielewa @ Nahuja
Sawa buanaCha kuiba mkuu haiishi hamu na hta yeye mwana dada amedata mbaya mimi ndio najizuia sbbu madhara yake nayajua ni makubwa kuliko faida yake, kwaiyo nikitaka kumgegeda najipanga mithili ya mtu anaetaka kufanya mapinduzi
Kweli mkuu! Yaani sijui wanakosaga nn kwa waume zao, japo sio wote lkn binafsi nimekutana nao wengi wanajidondosha wenyewe kwenye box. Nafanya kuwakwepa mm!Wake za watu hujirahisisha wenyewe
sawa wadausawa mkuu kama kaja mwenyewe fanya yako ila usimfate kwake
Kama Jamaa nafahamu nita dili nao Kama simfahamu nitadili na mkeWake za watu ndio tatizo kuu!..binafsi imenitokea yan natumia nguvu kumkwepa mke wa mtu kisa tu namuonea huruma mwenye mke huku nikiwaza nitajisikiaje siku nikisikia wakwangu nae kagongwa?
NB;nikijua kuna jamaa anamkula mke wangu sitapoteza mda nae...nitadili na mwanamke,nafikir huo ndio mwisho wa safari yetu mm na yy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji29][emoji29][emoji29]Mkuu ze-dudu nakwambia nipo zaidi ya akili nyingi sbbu jamaa namfaham hashindwi chochote ni mtata htr aachani na manati kutoka Czech Republic, kwaiyo najua kbsa hpa nabet vitu viwili roho yangu au marinda yangu
Mazee kama kuna nishani ya Nobel ya kuhalalisha mambo ningependekeza wakupe.
Sio tu umehalalisha kutembea na mke wa mtu, bali pia umempa makosa huyo mume wake kwamba yeye ndiye kaingilia reli yako kwa kukuchukulia demu wako wa zamani!