Mke wa Mtu naetembea nae sasa alikuaga Demu wangu kabla hata huyo mumewe wa sasa hajamjua, na hatukuwahi kugombana. Mizunguko tu ya kimaisha ndio ilitutenganisha na kutuachanisha. So Ki msingi mumewe ndo anatembea na Demu wangu wa Zamani.Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu.
Utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako.
Wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.
Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu?
Mnadhani hao watu hawaumii?
Kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa MUNGU watakua katika mateso gani?
MUNGU ni wa haki, MUNGU ndie kimbilio la wanyonge.
MUNGU hamtupi mnyonge, MUNGU hawatupi waja wake wanaomkimbilia, MUNGU hawatupi wanaokimbilia usalama kwake.
MUNGU wetu ni wa haki.
Na siku ukifumaniwa wakikusokomeza mdudu washawasha kwenye kinyeo chako pia uje kutuambia utamu wakeMke wa MTU ni mtamu kuliko hata soda na karanga
Konki konki master, shamba ya kichwa itamuhusu,mke wa mtu namla kwangu alafu njoo univamie kwangu ndo siku hiyo utaona matiti ya nyokaNa siku ukifumaniwa wakikusokomeza mdudu washawasha kwenye kinyeo chako pia uje kutuambia utamu wake
Brother isiombe yakukuteKonki konki master, shamba ya kichwa itamuhusu,mke wa mtu namla kwangu alafu njoo univamie kwangu ndo siku hiyo utaona matiti ya nyoka
sema baba wapone hao mashetaniKuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.
Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?
Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.