Wanaotaka uraisi 2015 wanyooshe vidole

Limbukeni

Senior Member
Feb 27, 2009
117
1
Ikulu kunabiashara gani??? Bungeni kuna biashara gani??? Check desa la mkapa hapo ,
 
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE


Haya Maneno ya watu waliokuwa wanaona mbali, tena yamesemwa miaka ya 1960! Lakini hadi leo Viongozi wetu kitu wanachofuatilia ni Misaada toka nje! Miaka hii ya Sayansi na Teke linalokujia!!!!!!!!!!
 
Pumbavu zako nyerere anaona mbali wapi acha upuuzi ongea mambo ya maana.engekuwa anaona mbali angemuweka mkapa madarakani.acheni upuuzi wa kumsifu fisadi nyerere.kila fisadi likitaka kujisafisha utasikia nyerere ama kweli fisadi husafishwa na fisadi.wadanganyika oyeeeeeeeeeeeeeee!
 
Pumbavu zako nyerere anaona mbali wapi acha upuuzi ongea mambo ya maana.engekuwa anaona mbali angemuweka mkapa madarakani.acheni upuuzi wa kumsifu fisadi nyerere.kila fisadi likitaka kujisafisha utasikia nyerere ama kweli fisadi husafishwa na fisadi.wadanganyika oyeeeeeeeeeeeeeee!
naomba msaada hapa hivi raisi bora wa wawamu ya tata angekuwa nani?
 
kama hukuwa na desa kwanini umetuwekea hii habari, umetufanya tubane pumzi wakati hakuna kitu. kwa kweli umezisumbua adrenalin zetu bure
 
kama hukuwa na desa kwanini umetuwekea hii habari, umetufanya tubane pumzi wakati hakuna kitu. Kwa kweli umezisumbua adrenalin zetu bure

madesa yako live kila mtu anajua mkapa alichofanya makampuni aliyouza ndio biashara zenyewe hizo za ikulu, bunge limesama hayo pia. Makampuni aiyojinunulia mwenyewe bila malipo halali kama mgodi wa makaa a mawe mbeya. Na vingine vingi ambayvo hatuvijui lakini vilifanyika. Maana yangu ni kwamba kama unagombania uraisi 2015 na ujui ujanja ujanja wa kuchukua chako mapema mkapa anaweza kukupa desa. Asante sana
 
Back
Top Bottom