simbasc

  1. AKILI TATU

    CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

    Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika. Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania. Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri...
Top Bottom