Wanaotaka kusoma muslim university of Morogoro

Wanaotaka kusoma muslim university of Morogoro

Nkanazina

Member
Joined
Mar 4, 2016
Posts
18
Reaction score
4
Narejea Tena nafasi bado zipo anaehitaji anaweza kunitafuta kwa 0621077936, 0719749032

Ada ni nafuu kubisa na mazingira mzuri ya kujifunza

Muslim university of Morogoro
1 bachelor of Arts with education
2. Bachelor of law and sharia
 
Chief kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo

Vipi ile system ya chuo kutoa mikopo kwa wanafunzi wake bado ipo? Vigezo ni nini?
 
Kuna wale wanaolalamika kila siku wamenyimwa elimu, hebu wapeni hizo nafasi waache kutusumbua
 
Write your reply...Hiki chuo buana.... wakufunzi wake ni walimu wa forest sekondari yaani waajiriwa wa Islamic Foundation, sifa yao ni moja tu... eti wataalamu wa sharia.
 
Back
Top Bottom