Nilifatilia hadi nikapata namba ya babake mzazi, ila sijapata muda wa kuliamsha dude, kama ulitapeliwa njoo chamber tupange mipangoWatu wa JF hamkomi, kuna yule dogo Kelvin yeye alitapeli watu humu akaingia mitini. Sasa na huyu kaja na gia nyingine.. Wajinga ndio waliwao..