Nawaona kakikundi fulani wana underestimate uwezo wa Rais.
Kila mara Rais akiteua wanakuja kusema JPM alimtumbua, je ni watu wangapi JPM aliwatumbua na baadae kuwarudisha ni watu wangapi ambao walilalamikiwa kuwa hawafai na kwa upendeleo wa moja kwa moja JPM aliwaacha.
Rais Samia ana haki ya kumteua mtu na kumundoa bila kuulizwa kwa mujibu wa katiba. Nawaona wanazi wanaquestiokwanini fulani kuondolewa je Ofisi za Umma ni mali ya mtu binafsi?
Tumuache Rais Samia Afanye kazi yake
Rais Samia apewe muda wa kuunda Serikali yake.
Rais Samia apewe muda wa kupanga mikakati yake.
Hakika Rais Samia ataleta mageuzi makubwa kiuchumi.
Kwa mujibu wa katiba yetu, mamlaya ya kuteua ("hiring"/appointing) na kutengua ("firing") yapo mikononi mwa Rais anaekalia kiti.
Rejea ibara ya 35 na 36 (1) cha katiba yetu
35.-(1)
All Executive functions of the Government of the United Republic of Tanzania discharged by officers of the Government shall be so done
on behalf of the President.
(2) Orders and other directives issued for the purposes of this Article
shall be signified in such manner as may be specified in regulations issued by the
President in conformity with the provisions of this Constitution.
36.-(1) Subject to the other provisions of this Constitution and of any
other law,
the President shall have authority to constitute and to abolish any office
in the service of the Government of the United Republic.
(2)
The President shall have the authority to appoint persons to hold
positions of leadership responsible for formulating policies for departments and
institutions of the Government, and the Chief Executives who are responsible for
supervision of the implementation of those department’s and institution’s policies
in the Service of the Government of the United Republic, in this Constitution or in
various laws enacted by the Parliament, which are required to be filled by a
appointment made by the President.
Urais wa nchi hii ndiyo wenye mamlaka ya kuteua amtakae ili kufanya kazi kwa niaba ya Rais. (
All Executive functions of the Government of the United Republic of Tanzania discharged by officers of the Government shall be so done
on behalf of the President.)
Kwa kuwa Tanzania imewahi kuwa na
JKN
AHM
BWM
JMK
JPM
na sasa SSH wafanyakazi wetu wanaoteuliwa they "serve her pleasure".
Humu mitandaoni au bungeni au vijiweni watu watasema sana, ila ikukumbukwetu tu, ...
All Executive functions of the Government of the United Republic of Tanzania discharged by officers of the Government shall be so done
on behalf of the President.
Kila la heri kwa wateule ambao wamewahi ku-serve pleasure ya mamlaka ya uteuzi na ambao mpaka sasa wapo kuitumikia awamu ya 6 chini ya CnC SSH.