Wanaotaka kujenga heshima ya ndoa

hahahahaha aise hiyo kali, utapata wateja wengi na thread za malalamiko ya kina dada yatapungua
Sio Tanzania tu hii hali mkuu ,ni mabadiliko ya hali ya hewa dunia..ndio maana huku Ughaibuni ndio kunaongoza kwa hilo tatizo,.
 
Ulaji mbovu wa chakula kutofanya mazoez wengine wanashindana na madem zao kuka KFC unategemea nin Dada ndo mana munachepuka
 
Naomba uweke no.ya simu kiongozi
 
Boxer za cowboy zina nn jaman... majibu pliz maana ninazo dozen hapa😵😵😵😵
Yaani mm nashindwa kuelewa hata ukisema oil chafu ni dawa mpini mbona utapata wateja!!!!jamani acheni chips na kuvaa boxer za cowboy
 
Mmmm masaa 6 mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…