Wanaotafuta mke/mume/mahusiano

Wanaotafuta mke/mume/mahusiano

imanihope

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
384
Reaction score
98
Last week nilipata kesi ya mwanandoa mmoja wao akitaka ushauri juu ya kudai talaka baada ya kutoridhishwa na huduma ya tendo la ndoa kwa muda mrefu sana kutoka kwa mumewe....
At the end chanzo cha tatizo iligundulika mwanamke aliolewa na mwanaume aliyemzidi umri wa miaka 8 pia alikuwa addicted wa masturbation na alcohol days goes jamaa ufanisi ukapungua ndio tatizo hadi leo....
Reminds you boys masturbation na excessive alcohol drinking hupelekea tatizo tajwa...pia kukaa umri mkubwa bila mwanamke at the end unajikuta una develop tabia flan mbaya...kikubwa kibaya vyakula vingi sasa huchangia kupunguza nguvu za kiume sana
Note: kwa mnaotumia age kama kigezo kwa mke au mume kwa sasa mnakosea sababu zamani mke alikuwa ni wa kuzaa watoto kumi na kulima tu familia ile....ila kwa sasa yapo hayo? Shtukeni....clinic na gari tena kujifungua agaKhan huyo mke atazeekea wap? Oaeneni atakayekuridhisha ndan na nje discipline and hard work cha muhimu pia....reminds you zingatia body structure ni vyema mume awe na muonekano mkubwa.
 
Back
Top Bottom