Kama umemaliza degree basi pambana ila kama ndio unajiandaa kwenda chuo... Hamia moja ya field hizi... Civil, mechanical au electrical!
NB: Kuna uwezekano ukapata mchance ukapiga pesa ila Ogopa kozi zinazoanzishwa kwa mihemko ya kisiasa hasa hapa Tz.